Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1348 POSTS 0 COMMENTS

Polisi Meru washiriki mazungumzo na wanabodaboda

0
Maafisa wa polisi wa kaunti ndogo ya Igembe kaskazini katika kaunti ya Meru wameanzisha mpango wa kushirikisha waendeshaji pikipiki za uchukuzi almaarufu bodaboda, kwa...

Jeshi la Uganda laripoti ajali ya ndege yake

0
Jeshi la ulinzi nchini Uganda kupitia kwa msemaji wake limetoa taarifa inayoelezea kuhusu ajali ya ndege ya jeshi la wanaanga katika eneo la Karamoja. Taarifa...

Kenya kutuma polisi Haiti kurejesha utulivu

0
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Daktari Alfred Mutua amesema Kenya imejitolea kutuma maafisa wake wa polisi wapatao 1000 nchini Haiti wakasaidie kutoa...

Umoja wa Ulaya wasitisha ushirikiano wa kiusalama na Niger

0
Umoja wa Ulaya, EU umetangaza kwamba umesimamisha ushirikiano wote wa kiusalama na taifa la Niger baada ya jeshi la nchi hiyo kutwaa mamlaka kupitia...

Mwenyekiti wa AU asema Afrika inazingatia uundaji wa nafasi za ajira

0
Mwenyekiti wa Kundi la Marais wa Mataifa ya Umoja wa Afrika, AU Azali Assoumani amesema Bara la Afrika linazingatia uundaji wa nafasi za ajira...

Jopo la kutathmini mashirika ya kidini lazuru Meru

0
Jopo lililobuniwa na Rais William Ruto kuhakiki sheria na sera za kudhibiti mashirika ya kidini nchini lilizuru kaunti ya Meru kwa nia ya kupokea...

Mshukiwa wa mauaji ya Rahab Karisa kusalia kizuizini

0
Mshukiwa mkuu katika mauaji ya afisa mkuu wa serikali ya kaunti ya Kilifi aliyekuwa akisimamia masuala ya uchumi wa baharini Rahab Karisa amekamatwa. Diana Naliaka...

Onyesho la Chipukeezy laahirishwa baada yake kulazwa hospitalini

0
Onyesho la vichekesho alilokuwa amepanga mchekeshaji Chipukeezy katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya Agosti 5, 2023 limeahirishwa baada ya mchekeshaji huyo kulazwa hospitalini. Tangazo hilo...

Wakenya walalamikia ubaguzi wa Sauti Sol

0
Kundi la muziki la Sauti Sol lilitoa tangazo la tamasha mbili ambazo wanapanga kuandaa mwezi Novemba na Wakenya wanaonelea kwamba ni ubaguzi. Kulingana na tangazo...

Wanajeshi Niger wadai kumng’oa mamlakani Rais Mohamed Bazoum

0
Wanajeshi nchini Niger wanadai kwamba walimng'oa mamlakani Rais Mohamed Bazoum jana Jumatano, Julai 26, 2023, saa chache baada ya walinzi wake kumzuilia katika ikulu.  Katika...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS