Marion Bosire
Wiki ya kitaifa ya vijana yazinduliwa
Wizara ya Masuala ya Vijana, Sanaa na Michezo kwa ushirikiano na asasi nyingine za serikali imezindua wiki ya kitaifa ya vijana mwaka 2023.
Uzinduzi huo...
Alex Lemarkoko ateuliwa kuwa mhifadhi mkuu wa misitu
Alex Lemarkoko ndiye mhifadhi mkuu wa misitu humu nchini. Aliteuliwa kwa wadhifa huo kupitia mpango uliotekelezwa na bodi ya huduma ya kutunza misitu nchini...
Wakenya wahakikishiwa usalama wa data yao
Serikali imehakikishia wakenya kwamba imejitolea katika kuhakikisha ulinzi wa hali ya juu wa data yao.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Eliud Owalo...
Yoni Pearls zapigwa marufuku
Bodi ya Dawa na Sumu humu Nchini, PPB imeonya umma dhidi ya matumizi ya bidhaa kwa jina "Yoni Pearls" ambazo huaminika kusaidia kutoa uchafu...
Niger: Viongozi wa mapinduzi wafunga anga
Viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wamefunga anga ya nchi hiyo kwa muda usiojulikana baada ya kukataa kutii makataa ya nchi za Afrika...
Viongozi waombwa watangulize maslahi ya Wakenya
Viongozi walioteuliwa kuwakilisha mirengo ya kisiasa ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja One Kenya kwenye mazungumzo ya maridhiano wameombwa watangulize maslahi ya Wakenya...
Waziri Nakhumicha: Malipo ya NHIF yatapungua hadi shilingi 300
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesema ada za bima ya matibabu, NHIF zitapungua hadi shilingi 300 kuanzia mwezi Septemba mwaka huu.
Kulingana naye, hii ni...
Waziri Owalo azindua mtandao wa Wi-Fi Ukunda
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Digitali Eliud Owalo amezindua mtandao wa Wi-Fi katika soko la Ukunda, eneo bunge la Msambweni kaunti ya...
Marufuku dhidi ya mwigizaji Jerry Williams yaondolewa
Chama cha waigizaji nchini Nigeria almaarufu Actors Guild of Nigeria - AGN kimeondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya mwigizaji Jerry Williams.
Uanachama wa Williams kwenye AGN...
Kenya kuandaa kongamano la Afrika la afisi za bajeti bungeni
Bunge la Kenya litaandaa awamu ya sita ya kongamano la mtandao wa Afrika wa afisi za bajeti bungeni baadaye mwezi huu jijini Mombasa.
Kongamano hilo...