Marion Bosire
Trump akanusha mashtaka dhidi yake
Aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump jana Alhamisi alikanusha mashtaka manne ya uhalifu dhidi yake katika mahakama ya E. Barrett Prettyman iliyoko jijini Washington...
Serikali yasimamisha ukusanyaji data wa WorldCoin
Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani imesimamisha mipango ya ukusanyaji data ya watu binafsi ambao unaendeshwa na kampuni ya World Coin na kampuni...
Lizzo ashtakiwa na waliokuwa wacheza densi wake
Mwanamuziki wa mtindo wa Pop Melissa Viviane Jefferson, maarufu kama Lizzo ameshtakiwa na watu watatu ambao awali walifanya naye kazi kama wanenguaji.
Kesi hiyo iliwasilishwa...
Rais Ruto azomea waliochelewa kufika Ikulu
Rais William Ruto amezomea mawaziri, makatibu wa wizara na wasimamizi wa kampuni za serikali waliochelewa kufika Ikulu ya Nairobi kwa ajili ya hafla ya...
Aung San Suu Kyi asamehewa baadhi ya makosa
Aliyekuwa kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi ambaye aliwahi kushinda tuzo ya Nobel amesamehewa makosa matano kati ya yote 19 na jeshi la...
Watu wanne wakamatwa na pembe za ndovu Busia
Washukiwa wanne wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Busia baada ya kupatikana na vipande 10 vya pembe za ndovu.
Vipande hivyo vina uzani wa kilo...
Eric Omondi amhamisha na kumfungulia biashara Victor Juma
Mchekeshaji Eric Omondi amemhamisha jamaa kwa jina Victor Omondi na familia yake kutoka mtaa wa Mathare na kumfungulia biashara ya kuuza viatu na nguo....
Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya amani Ukraine
Saudi Arabia inajiandaa kuwa mwenyeji wa mkutano wa mazungumzo ya kutafuta amani nchini Ukraine. Mkutano huo utatathmini mpango wa Rais Volodymyr Zelenskyy wa kurejesha...
Polisi Meru washiriki mazungumzo na wanabodaboda
Maafisa wa polisi wa kaunti ndogo ya Igembe kaskazini katika kaunti ya Meru wameanzisha mpango wa kushirikisha waendeshaji pikipiki za uchukuzi almaarufu bodaboda, kwa...
Jeshi la Uganda laripoti ajali ya ndege yake
Jeshi la ulinzi nchini Uganda kupitia kwa msemaji wake limetoa taarifa inayoelezea kuhusu ajali ya ndege ya jeshi la wanaanga katika eneo la Karamoja.
Taarifa...