Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1466 POSTS 0 COMMENTS

Mashirika yasiyo ya kiserikali yashauriwa kulainisha matumizi ya pesa

0
Serikali imeshauri mashirika yasiyo ya kiserikali na ambayo hutegemea ufadhili kutoka kwa wahisani na mashirika ya kimataifa kuendesha shughuli zao, yalainishe usimamizi na matumizi...

Wanahabari Meru washirikiana na kundi la kutunza mazingira kupanda miti

0
Baraza la vyombo vya habari nchini tawi la kaunti ya Meru, chama cha wanahabari Meru na kundi la kutunza mazingira katika kaunti ya Meru...

Magavana waonywa dhidi ya kuajiri kiholela

0
Tume ya kupambana na ufisadi nchini Kenya EACC imetoa onyo kwa magavana humu nchini dhidi ya kuajiri watu kiholela katika afisi zao. Kwenye taarifa kwa...

Muda wa kuomba ufadhili wa elimu ya juu waongezwa

0
Wizara ya elimu nchini Kenya imeongeza kwa mwezi mmoja zaidi muda wa kutuma maombi ya ufadhili wa elimu ya juu. Wanaotaka ufadhili katika mwaka...

Rais Macron asema bendera ya Urusi haifai kuwa kwenye michezo ya...

0
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesisitiza kwamba bendera ya Urusi haifai kupeperushwa kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 2024 ambayo itaandaliwa katika nchi yake. Anasema...

Afrika yataka ushirikiano wa dunia yote kukabiliana na mabadiliko ya tabia...

0
Bara Afrika linataka juhudi za pamoja zitekelezwe ulimwenguni katika kukusanya mapato ya kugharamia maendeleo na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Haya ni...

Chipukeezy Show kuanza Septemba 11 kwenye runinga ya KBC

0
Kipindi cha mahojiano na vichekesho kinachojulikana kama "Chipukeezy Show" kitaanza kupeperushwa na runinga ya kitaifa KBC Jumatatu Septemba 11, 2023. Kitakuwa Kikionyeshwa kila Jumatatu...

Muda wa kikosi cha jumuiya ya Afrika Mashariki DR Congo waongezwa

0
Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki walikubaliana Jumanne kuongeza muda wa kuhudumu wa kikosi cha eneo hili kilichotumwa mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya...

Marekani yaonya Korea Kaskazini dhidi ya kuuzia Urusi silaha

0
Mshauri wa ngazi za juu katika ikulu ya White House amesema kwamba Korea Kaskazini italipia iwapo itauzia Urusi silaha za kutumia katika vita nchini...

Enrique Tarrio ahukumiwa kifungo cha miaka 22 gerezani

0
Aliyekuwa kiongozi wa kundi la "Proud Boys" Enrique Tarrio alihukumiwa kifungo cha miaka 22 gerezani Jumanne Septemba 5, 2023, kutokana na jukumu lake la...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS