Marion Bosire
Suzanna Owiyo afiwa na mamake
Mwanamuziki Suzanna Owiyo ametangaza kwamba mamake mzazi ameaga dunia. Kupitia mtandao wa X ambao awali ulijulikana kama Twitter, Owiyo alisema haamini kwamba hilo limetokea.
Alimsherehekea...
Bunge laombwa kupiga marufuku TikTok nchini Kenya
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amesema kwamba afisi yake imepokea ombi la kupiga marufuku mtandao wa kijamii TikTok nchini Kenya.
Akizungumza bungeni leo,...
Watakaohudhuria kongamano la mabadiliko ya tabia nchi wahakikishiwa usalama
Huku maandalizi ya Kongamano la Mabadiliko ya Tabia Nchi Barani Afrika yakishika kasi, kundi linalohusika na masuala ya afya limeahidi kuhakikisha afya na usalama...
Trump ashtakiwa kwa mara ya nne
Aliyekuwa rais wa marekani Donald Trump na rafikize 18 wameshtakiwa katika jimbo la Georgia nchini humo kwa kupanga njama ya kupindua ushinde wake kwenye...
Kongamano la ugatuzi kuzinduliwa rasmi kesho
Rais William Ruto kesho Jumatano atazindua rasmi awamu ya 8 ya kongamano la ugatuzi ambalo linaandaliwa katika gatuzi la Uasin Gishu, mjini Eldoret.
Ruto tayari...
Raila afanya mazungumzo na Seneta Coons wa Marekani
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga jana Jumapili, Agosti 13, 2023 alifanya mazungumzo na seneta Christopher Coons anayezuru Kenya.
Mkutano...
Saa za Swatch zapigwa marufuku nchini Malaysia
Saa zilizoundwa na kampuni ya Swatch ambazo rangi zake ni za upinde wa mvua na uhusishwa na kundi la mashoga, wasagaji na wengine almaarufu...
Familia moja kaunti ya Kiambu yatafuta haki
Familia moja mjini Thika katika kaunti ya Kiambu inatafuta haki baada ya mwanao kushambuliwa na afisa wa polisi kutokana na kile kinachosemekana kuwa kukosa...
Kindiki atetea polisi dhidi ya madai ya upendeleo
Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki ametetea maafisa wa usalama dhidi ya madai ya upinzani kwamba wanapendelea upande mmoja kisiasa.
Kindiki anasema maafisa wa...
Waziri Owalo azindua mtandao wa WiFi katika soko la Magunga
Waziri wa Habari na Mawasiliano Eliud Owalo jana Jumapili alizindua mtandao wa WiFi katika soko la Magunga eneo bunge la Suba Kusini katika kaunti...