Marion Bosire
Somalia yapiga marufuku TikTok na Telegram
Serikali ya Somalia imetangaza marufuku dhidi ya mitandao ya kijamii ya TikTok na Telegram pamoja na programu moja ya kucheza kamari mtandaoni ikisema vitu...
Raila kwenye ziara ya kibinafsi Uingereza
Kiongozi wa muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga yuko kwenye ziara nchini Uingereza. Kwenye taarifa afisi yake ilitaja ziara hiyo...
Polisi wachunguza kifo cha afisa wa idara ya uvuvi Kwale
Maafisa wa polisi wanaendeleza uchunguzi kuhusu kifo cha Martin Kiogora ambaye amekuwa akihudumu kama mkurugenzi wa idara ya masuala ya kilimo, uvuvi na ufugaji...
Mazungumzo ya pande mbili kurejelewa leo
Mazungumzo kati ya mrengo wa Kenya Kwanza na Azimio la Umoja One Kenya yanarejelewa leo Jumatatu Agosti 21, 2023. Pande hizo mbili zinatarajiwa kukubaliana...
Watoto 6 waaga dunia kwenye moto nchini Congo
Watoto sita wameaga dunia kwenye mkasa wa moto mashariki ya DR Congo baada ya moto kuzuka kwenye kambi moja ya wakimbizi wa ndani kwa...
Rais Ruto aahidi kushirikiana na viongozi wa Kisii kimaendeleo
Rais William Ruto ameahidi kuungana na kushirikiana na viongozi wote waliochaguliwa katika kaunti ya Kisii wanapopanga maendeleo ya eneo hilo.
Akizungumza wakati wa hafla ya...
Gavana Arati: Mashemeji walinilipia tikiti za MCAs
Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati amefafanua kwamba wawakilishi wadi ambao alisafiri nao hadi Uchina mwezi jana, walilipiwa tikiti za ndege na serikali...
Viongozi wa mapinduzi Niger wapendekeza serikali ya mpito
Wanajeshi walioongoza mapinduzi ya serikali nchini Niger sasa wanapendekeza serikali ya mpito ambayo itaongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu kabla ya kurejelea...
Harusi yageuka kuwa msiba Kiambu
Sherehe ya harusi ilgeuka na kuwa msiba huko Ruiru kaunti ya Kiambu, baada ya wanawake watano na mtoto mmoja kufariki kufuatia kuporomoka kwa shimo...
Rais William Ruto ahudhuria ibada Kisii leo
Kiongozi wa nchi Rais William Ruto kwa hivi sasa anahudhuria ibada ya madhehebu mbali mbali leo katika uwanja wa Nyanturago, eneo bunge la Nyaribari...