Marion Bosire
Rais Ruto aahidi kushirikiana na viongozi wa Kisii kimaendeleo
Rais William Ruto ameahidi kuungana na kushirikiana na viongozi wote waliochaguliwa katika kaunti ya Kisii wanapopanga maendeleo ya eneo hilo.
Akizungumza wakati wa hafla ya...
Gavana Arati: Mashemeji walinilipia tikiti za MCAs
Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati amefafanua kwamba wawakilishi wadi ambao alisafiri nao hadi Uchina mwezi jana, walilipiwa tikiti za ndege na serikali...
Viongozi wa mapinduzi Niger wapendekeza serikali ya mpito
Wanajeshi walioongoza mapinduzi ya serikali nchini Niger sasa wanapendekeza serikali ya mpito ambayo itaongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu kabla ya kurejelea...
Harusi yageuka kuwa msiba Kiambu
Sherehe ya harusi ilgeuka na kuwa msiba huko Ruiru kaunti ya Kiambu, baada ya wanawake watano na mtoto mmoja kufariki kufuatia kuporomoka kwa shimo...
Rais William Ruto ahudhuria ibada Kisii leo
Kiongozi wa nchi Rais William Ruto kwa hivi sasa anahudhuria ibada ya madhehebu mbali mbali leo katika uwanja wa Nyanturago, eneo bunge la Nyaribari...
Kituo cha utafiti wa sayansi ya michezo chazinduliwa
Serikali imezindua kituo cha utafiti wa sayansi ya michezo cha Shirika la Utafiti wa Kimatibabu Nchini, KEMRI mjini Eldoret katika juhudi za kukabiliana na...
Seneta Mandago na wenzake waachiliwa kwa dhamana
Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago na wenzake wawili waliokamatwa jana Jumatano kwa tuhuma za kufuja pesa za hazina ya elimu wameachiliwa...
Watu 10 wakamatwa Singapore kwa kujipatia pesa kwa njia zisizo halali
Maafisa wa polisi nchini Singapore wamekamata watu 10 na kutwaa mali ya thamani ya dola milioni 737, chini ya operesheni inayoendelea dhidi ya watu...
Wabunge waelezea hofu kuhusu makaburi ya Lang’ata
Wabunge sasa wanaitaka Wizara ya Afya itathmini hatari za kiafya zinazotokana na matumizi endelevu ya eneo la makaburi la Lang'ata, zaidi ya miaka 10...
Kega atishia kwenda mahakamani Jubilee isipohusishwa kwenye majadiliano
Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Kanini Kega ametishia kuelekea mahakamani iwapo chama cha Jubilee hakitahusishwa kwenye mazungumzo ya pande mbili kati ya muungano...