Marion Bosire
Wakazi Machakos wafunga barabara iliyo na vumbi jingi
Usafiri ulitatizwa kwa muda kwenye barabara ya Devki – Kinanie – Joska katika kaunti ya Machakos baada ya wakazi wa eneo hilo kuandamana na...
Filamu ‘Barbie’ yapigwa marufuku Lebanon
Waziri wa Utamaduni nchini Lebanon alitangaza jana Jumatano kwamba filamu kwa jina "Barbie" haikubaliwi nchini humo na isionyeshwe kwenye kumbi za filamu kwa sababu...
Dereva achomeka hadi kufa katika ajali Bungoma
Dereva wa lori alichomeka hadi kufa Jumatano asubuhi baada ya kuhusika kwenye ajali katika eneo la Sikata kwenye barabara kuu ya kutoka Webuye kuelekea...
Machogu: Utekelezaji wa CBC unaendelea vizuri
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amesisitiza kwamba utekelezaji wa mtaala wa umilisi CBC unaendelea kwa njia iliyo sawa.
Akizungumza mbele ya bunge la Seneti, Machogu...
Mikrofoni ya Cardy B yauzwa dola elfu 99.9
Mikrofoni ambayo mwanamuziki wa Marekani Cardi B alimrushia shabiki aliyemkosea heshima kwa kumtupia kinywaji mwezi jana huko Las Vegas kimeuzwa kwa dola elfu 99,900...
Torry Lanez ahukumiwa kifungo cha miaka 10 gerezani
Mwanamuziki wa mtindo wa rap kutoka Canada Tory Lanez alihukumiwa kifungo cha miaka 10 gerezani Jumanne kutokana na makosa ya kumpiga risasi mguuni mwanamuziki...
Serikali ya kaunti ya Nakuru yasambaza dawa za milioni 97
Serikali ya kaunti ya Nakuru imesambaza shehena ya 4 ya dawa na vifaa vya matibabu vya gharama ya shilingi milioni 97 kuambatana na ahadi...
Mkewe Rais aandaa tamasha ya kwanza ya muziki Narok
Mkewe Rais Rachel Ruto ameanzisha mpango wake wa kuandaa tamasha za muziki wa injili katika kaunti zote 47 kupitia kwa shirika lake la "MaMa...
Marekani yasitisha usaidizi wa kifedha kwa Niger
Marekani imetangaza kusitishwa kwa misaada ya kifedha kwa taifa la Niger kufuatia mapinduzi. Haya yalisemwa na kaimu naibu waziri wa mambo ya nje nchini...
Mudavadi awasili Uganda kwa kongamano la kahawa
Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewasili jijini Kampala nchini Uganda kwa awamu ya pili ya kongamano la viongozi wa nchi za Afrika,...