Marion Bosire
Mpango wa kuajiri watendakazi vibarua wasimamishwa Laikipia
Serikali ya kaunti ya Laikipia imetangaza kufutiliwa mbali kwa mchakato wa kuajiri wafanyikazi vibarua wa kaunti hiyo, saa chache kabla ya kuanza.
Akizungumza na wanahabari...
Wabunge wapitisha mjadala wa kuanzishwa kwa hazina ya saratani
Wabunge hivi leo wamepitisha mjadala wa kuanzishwa kwa hazina ya kitaifa ya matibabu na udhibiti wa ugonjwa wa saratani.
Mbunge wa eneo la Marakwet Magharibi...
Humphrey Wattanga Mulongo ateuliwa kamishna wa mkuu KRA
Waziri wa fedha Njuguna Ndung'u amemteua Humphrey Wattanga Mulongo kuwa kamishna mkuu wa mamlaka ya kukusanya ushuru nchini KRA.
Kwenye arifa ya gazeti rasmi la...
Chanjo ya dharura ya Polio
Wizara ya Afya itatoa kwa awamu tatu, chanjo ya dharura ya Polio kwa lengo la Kufikia watoto milioni 7.4.
Awamu ya kwanza ya kampeni hiyo...
Rais Ruto kuanzisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu Nakuru
Jioni ya Jumanne Agosti 22, 2023, Rais William Ruto ataongoza hafla ya kuanzisha mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika eneo bunge...
Rais Ruto kuhudhuria tamasha ya Maa
Rais William Ruto anatarajiwa kuhudhuria tamasha ya kwanza kabisa ya jamii ya Maa inayoendelea katika mbuga ya wanyamapori ya Maasai Mara.
Tamasha hiyo ambayo ilianza...
Hitaji la viza laondolewa kwa raia wa Indonesia wanaozuru Kenya
Rais William Ruto ametangaza kuondolewa kwa hitaji la viza kwa raia wa Indonesia wanaoingia Kenya mradi wana paspoti za nchi hiyo. Hii ni baada...
Naibu Rais azindua mpango wa mafunzo kwa wanabodaboda
Naibu Rais Rigathi Gachagua leo asubuhi alizindua mpango wa mafunzo kwa waendeshaji pikipiki za kubeba abiria almaarufu bodaboda katika ukumbi wa chuo kikuu cha...
Rais Joko Widodo wa Indonesia azuru Kenya
Rais wa nchi ya Indonesia, Joko Widodo yuko nchini Kenya kwa ziara ya kikazi. Alilakiwa katika Ikulu ya Nairobi na Rais William Ruto na...
John Kiboko mmoja wa waliopigania uhuru kuzikwa Ijumaa
Mwili wa John Kiboko ambaye ni mmoja wa waliopigania uhuru wa taifa la Kenya, utazikwa nyumbani kwake huko Ngorika katika kaunti ya Nyandarua Ijumaa...