Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1333 POSTS 0 COMMENTS

Trump ashtakiwa kwa mara ya nne

0
Aliyekuwa rais wa marekani Donald Trump na rafikize 18 wameshtakiwa katika jimbo la Georgia nchini humo kwa kupanga njama ya kupindua ushinde wake kwenye...

Kongamano la ugatuzi kuzinduliwa rasmi kesho

0
Rais William Ruto kesho Jumatano atazindua rasmi awamu ya 8 ya kongamano la ugatuzi ambalo linaandaliwa katika gatuzi la Uasin Gishu, mjini Eldoret. Ruto tayari...

Raila afanya mazungumzo na Seneta Coons wa Marekani

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga jana Jumapili, Agosti 13, 2023 alifanya mazungumzo na seneta Christopher Coons anayezuru Kenya. Mkutano...

Saa za Swatch zapigwa marufuku nchini Malaysia

0
Saa zilizoundwa na kampuni ya Swatch ambazo rangi zake ni za upinde wa mvua na uhusishwa na kundi la mashoga, wasagaji na wengine almaarufu...

Familia moja kaunti ya Kiambu yatafuta haki

Familia moja mjini Thika katika kaunti ya Kiambu inatafuta haki baada ya mwanao kushambuliwa na afisa wa polisi kutokana na kile kinachosemekana kuwa kukosa...

Kindiki atetea polisi dhidi ya madai ya upendeleo

0
Waziri wa Mambo ya Ndani Kithure Kindiki ametetea maafisa wa usalama dhidi ya madai ya upinzani kwamba wanapendelea upande mmoja kisiasa. Kindiki anasema maafisa wa...

Waziri Owalo azindua mtandao wa WiFi katika soko la Magunga

0
Waziri wa Habari na Mawasiliano Eliud Owalo jana Jumapili alizindua mtandao wa WiFi katika soko la Magunga eneo bunge la Suba Kusini katika kaunti...

Sabina Chege apuuzilia mbali wapinzani

Mwenyekiti wa chama cha Jubilee Sabina Chege amepuuzilia mbali wanaompinga akisema anatosha kuongoza chama hicho cha Jubilee kufuatia kuondoka kwa aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta. Chege...

Aliyemtishia Fernando Villavicencio ahamishiwa gereza kuu

0
Mwaniaji urais nchini Ecuador Fernando Villavicencio aliuawa na watu wasiojulikana Agosti 9, 2023. Watu hao walimvamia punde baada ya kuhutubia mkutano wa kisiasa katika...

Wanachama wa bodi za miji ya kaunti ya Nakuru waapishwa

0
Serikali ya kaunti ya Nakuru imeapisha wanachama wa bodi za jiji la Nakuru na manispaa za Naivasha, Molo na Gilgil. Bodi hizo zimepatiwa jukumu...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS