Marion Bosire
Watu wawili wafariki kwenye ajali Bungoma
Watu wawili wamethibitishwa kufariki kwenye ajali iliyohusisha basi la bendi ya polisi, lori na pikipiki katika eneo la Matete kaunti ya Bungoma.
Wengine wanane ambao...
Bunge la Seneti kujadili mswada kuhusu tabia nchi kwenye kikao maalumu
Spika wa bunge la Seneti Amason Kingi ametangaza kikao maalumu cha bunge hilo Alhamisi Agosti 31, 2023 kupitia gazeti rasmi la serikali. Kwenye kikao...
Mkutano wa Gavana wageuka vurugu huko Ruiru
Mkutano wa Gavana wa kaunti ya Kiambu Kimani Wamatangi wa kusambaza hundi za ufadhili wa masomo almaarufu Bursary katika eneo bunge la Ruiru uligeuka...
Wanajeshi Gabon wasema wanachukua uongozi
Wanajeshi nchini Gabon wametangaza kwamba wanachukua uongozi wa taifa hilo.
Kwenye hotuba kupitia runinga, wanajeshi hao walisema wanatupilia mbali majibu ya uchaguzi wa Urais uliofanyika...
Steve Harvey akanusha madai ya kutengana na mkewe
Mchekeshaji na mtangazaji Steve Harvey wa Marekani amekanusha madai kwamba yeye na mke wake Marjorie wametengana na kwamba watatalikiana.
Akizungumza kwenye tamasha ya InvestFest awamu...
Bima ya matibabu NHIF kuondolewa
Bima ya kitaifa ya matibabu NHIF itaondolewa na badala yake kubuniwe hazina tatu za matibabu. Hili lilibainika kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliondaliwa...
Mpango wa kuhakikisha upatikanaji wa haki wafika Kakuma
Juhudi za Jaji Mkuu Martha Koome za kuimarisha upatikanaji wa haki hasa kwa waliotengwa katika jamii zimefika katika mji wa Kakuma, mji ambao unahusishwa...
Mahakama yatupilia mbali mashtaka dhidi ya Imran Khan
Mahakama moja huko Pakistan imetupilia mbali mashtaka yote ya ufisadi dhidi ya aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Imran Khan.
Mwanasiasa huyo wa umri wa...
Marekani kushirikiana na kampuni ya Kenya kuinua sekta ya nazi
Marekani imetangaza ushirikiano na kampuni moja inayojihusisha na utayarishaji bidhaa kutokana na nazi kwa jina Kentaste, ambao utapanua fursa za kiuchumi kwa wakulima wapatao...
Sheria dhidi ya mashoga yaanza kutumika nchini Uganda
Miezi mitatu tu baada ya kupitishwa kwa sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda, makali ya sheria hiyo yameanza kuhisiwa. Mwanaume mmoja wa umri...