Marion Bosire
Rais Ruto kuhudhuria tamasha ya Maa
Rais William Ruto anatarajiwa kuhudhuria tamasha ya kwanza kabisa ya jamii ya Maa inayoendelea katika mbuga ya wanyamapori ya Maasai Mara.
Tamasha hiyo ambayo ilianza...
Hitaji la viza laondolewa kwa raia wa Indonesia wanaozuru Kenya
Rais William Ruto ametangaza kuondolewa kwa hitaji la viza kwa raia wa Indonesia wanaoingia Kenya mradi wana paspoti za nchi hiyo. Hii ni baada...
Naibu Rais azindua mpango wa mafunzo kwa wanabodaboda
Naibu Rais Rigathi Gachagua leo asubuhi alizindua mpango wa mafunzo kwa waendeshaji pikipiki za kubeba abiria almaarufu bodaboda katika ukumbi wa chuo kikuu cha...
Rais Joko Widodo wa Indonesia azuru Kenya
Rais wa nchi ya Indonesia, Joko Widodo yuko nchini Kenya kwa ziara ya kikazi. Alilakiwa katika Ikulu ya Nairobi na Rais William Ruto na...
John Kiboko mmoja wa waliopigania uhuru kuzikwa Ijumaa
Mwili wa John Kiboko ambaye ni mmoja wa waliopigania uhuru wa taifa la Kenya, utazikwa nyumbani kwake huko Ngorika katika kaunti ya Nyandarua Ijumaa...
Somalia yapiga marufuku TikTok na Telegram
Serikali ya Somalia imetangaza marufuku dhidi ya mitandao ya kijamii ya TikTok na Telegram pamoja na programu moja ya kucheza kamari mtandaoni ikisema vitu...
Raila kwenye ziara ya kibinafsi Uingereza
Kiongozi wa muungano wa upinzani Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga yuko kwenye ziara nchini Uingereza. Kwenye taarifa afisi yake ilitaja ziara hiyo...
Polisi wachunguza kifo cha afisa wa idara ya uvuvi Kwale
Maafisa wa polisi wanaendeleza uchunguzi kuhusu kifo cha Martin Kiogora ambaye amekuwa akihudumu kama mkurugenzi wa idara ya masuala ya kilimo, uvuvi na ufugaji...
Mazungumzo ya pande mbili kurejelewa leo
Mazungumzo kati ya mrengo wa Kenya Kwanza na Azimio la Umoja One Kenya yanarejelewa leo Jumatatu Agosti 21, 2023. Pande hizo mbili zinatarajiwa kukubaliana...
Watoto 6 waaga dunia kwenye moto nchini Congo
Watoto sita wameaga dunia kwenye mkasa wa moto mashariki ya DR Congo baada ya moto kuzuka kwenye kambi moja ya wakimbizi wa ndani kwa...