Marion Bosire
Kituo cha matibabu ya dharura ya figo chazinduliwa Kilifi
Serikali ya kaunti ya Kilifi imezindua kituo cha matibabu ya dharura ya figo ambacho kina vifaa vyote hitajika, wahudumu na ambulensi za kisasa zilizo...
Waziri Chirchir na Siror waagizwa kufika bungeni
Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu kawi imemwagiza waziri wa kawi Davis Chirchir na mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya umeme nchini Kenya Power Joseph...
R. Kelly na kampuni ya Universal kutoa pesa za kulipa wahanga...
Jaji wa mahakama ya wilaya ya mashariki ya New York nchini Marekani Ann Donnelly ameamuru kwamba mwanamuziki R. Kelly na kampuni ya muziki ya...
Lizzo kushtaki waliokuwa wacheza densi wake
Mwanamuziki wa Marekani Lizzo anapanga kuwashtaki waliokuwa wacheza densi wake baada yao kumshtaki.
Crystal Williams, Arianna Davis na Noelle Rodriguez, walimshtaki Lizzo, kampuni yake iitwayo...
Uchaguzi Zimbabwe: Mnangagwa kuendelea kuongoza
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ataendelea kuongoza taifa hilo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Hii ni baada ya tume ya uchaguzi nchini humo...
Wakulima huko Imenti wahimizwa kujisajili
Mbunge wa eneo la Imenti ya kati Moses Kirima amesihi wakulima wa eneo lake wajisajili kwenye mpango wa usambazaji wa mbolea ya bei nafuu...
Jenerali Ogola azungumzia siku 100 tangu kuteuliwa
Mkuu wa majeshi ya Kenya Jenerali Francis Ogolla ametimiza siku 100 afisini tangu kuteuliwa kwake na Rais William Ruto baada ya kustaafu kwa mtangulizi...
Mfumo wa kuweka kesi kidijitali wazinduliwa Mandera
Jaji mkuu Martha Koome amezindua mfumo wa kuweka kesi mahakamani kwa njia ya kidijitali pamoja na kituo cha kusuluhisha mizozo almaarufu Maslaha. Alizindua pia...
Maktaba ya Meli yawasili Mombasa
Wakenya ambao wanapenda kusoma vitabu wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia kutia nanga kwa meli iliyo maktaba katika Bandari ya Mombasa na ambayo itasalia...
Wasimamizi wa hospitali Murang’a waagizwa kujiuzulu
Gavana wa kaunti ya Murang’a Irungu Kang’ata ameagiza wasimamizi wote watano wa hospitali za umma katika kaunti hiyo wajiuzulu katika muda wa wiki mbili...