Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1371 POSTS 0 COMMENTS

Steve Harvey akanusha madai ya kutengana na mkewe

0
Mchekeshaji na mtangazaji Steve Harvey wa Marekani amekanusha madai kwamba yeye na mke wake Marjorie wametengana na kwamba watatalikiana. Akizungumza kwenye tamasha ya InvestFest awamu...

Bima ya matibabu NHIF kuondolewa

0
Bima ya kitaifa ya matibabu NHIF itaondolewa na badala yake kubuniwe hazina tatu za matibabu. Hili lilibainika kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliondaliwa...

Mpango wa kuhakikisha upatikanaji wa haki wafika Kakuma

0
Juhudi za Jaji Mkuu Martha Koome za kuimarisha upatikanaji wa haki hasa kwa waliotengwa katika jamii zimefika katika mji wa Kakuma, mji ambao unahusishwa...

Mahakama yatupilia mbali mashtaka dhidi ya Imran Khan

0
Mahakama moja huko Pakistan imetupilia mbali mashtaka yote ya ufisadi dhidi ya aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo Imran Khan. Mwanasiasa huyo wa umri wa...

Marekani kushirikiana na kampuni ya Kenya kuinua sekta ya nazi

0
Marekani imetangaza ushirikiano na kampuni moja inayojihusisha na utayarishaji bidhaa kutokana na nazi kwa jina Kentaste, ambao utapanua fursa za kiuchumi kwa wakulima wapatao...

Sheria dhidi ya mashoga yaanza kutumika nchini Uganda

0
Miezi mitatu tu baada ya kupitishwa kwa sheria kali dhidi ya mashoga nchini Uganda, makali ya sheria hiyo yameanza kuhisiwa. Mwanaume mmoja wa umri...

Taasisi ya Wangari Maathai yafunguliwa rasmi

0
Taasisi ya Wangari Maathai ya mafunzo ya amani na mazingira, yaani "Wangari Maathai Institute (WMI)" imefunguliwa rasmi katika chuo kikuu cha Nairobi, bewa la...

Shule zafunguliwa kwa muhula wa tatu mwaka huu

0
Shule zinafunguliwa leo Jumatatu Agosti 28, 2023 baada ya likizo ya wiki mbili na wanafunzi wameanza kurejea shuleni. Kulingana na kalenda ya Wizara ya Elimu,...

Usajili wa makurutu wa KDF waanza

0
Usajili wa makurutu wa jeshi la Kenya, KDF unaanza leo Jumatatu. Utafikia kikomo Septemba 8, 2023 na utajumuisha usajili wa makurutu wa kawaida, walio na...

Khaligraph azindua kibao kipya baada ya kuzua mzozo wa “Hip Hop”...

0
Mwanamuziki wa mtindo wa Hip Hop nchini Kenya Khaligraph Jones ametoa kibao kipya kwa jina "Bongo Favour" baada ya kuanzisha mzozo kati ya wanamuziki...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS