Marion Bosire
Mwanamuziki wa Tanzania Haitham Kim aaga dunia
Mwanamuziki wa kike wa Tanzania Haitham Kim ameaga dunia siku chache tu baada ya kuugua. Alikata roho akiendelea kupata matibabu katika hospitali ya rufaa...
Wachekeshaji wa Kenya wamiminika London kwa tamasha
Wachekeshaji wengi tu wa Kenya wamewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya tamasha ya vichekesho ya aina yake.
Wengi wamekuwa wakichapisha picha zao wakiwa...
Mwimbaji Emmy Kosgey asherehekea miaka 10 ya ndoa
Mwimbaji wa asili ya Kenya Emmy Kosgey anasherehekea miaka kumi ya ndoa yake na mhubiri maarufu wa Nigeria Anselm Madubuko. Wawili hao walifunga ndoa...
Uanachama wa Gabon katika AU wasitishwa
Umoja wa Afrika, AU umesitisha uanachama wa taifa la Gabon kufuatia hatua ya wanajeshi wa taifa hilo ya kupindua serikali ya Rais Ali Bongo.
Mapinduzi...
Peter Munya afika mahakamani baada ya kibali cha kumkamata kutolewa
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta Peter Munya alijiwasilisha mahakamani leo Alhamisi muda mfupi baada ya kibali cha kukamatwa kwake...
Rais Ruto aonya maafisa wa umma wanaofanikisha ufisadi
Rais William Ruto amesema hawezi kukubalia watu wachache waharibu hali ya baadaye ya nchi hii kwa hivyo ufisadi utakabiliwa vilivyo.
Kiongozi wa nchi ambaye alikuwa...
Chebukati asema mapinduzi ni tishio kwa demokrasia
Aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini IEBC Wafula Chebukati amesema kwamba mapinduzi ya serikali za nchi kadhaa barani Afrika yanayotekelezwa na wanajeshi tishio...
Serikali yaombwa itoe pesa za kufadhili elimu
Shule zinapoendelea kufunguliwa kwa muhula wa tatu, chama cha walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET tawi la Meru kinaomba serikali kupitia kwa...
Barabara muhimu kufungwa Nairobi wakati wa kongamano la tabia nchi
Barabara muhimu za jiji la Nairobi zitafungwa kati ya Jumatatu na Jumatano wiki ijayo wakati wa kongamano la Afrika kuhusu tabia nchi.
Kongamano hilo litaandaliwa...
Brown Mauzo atangaza utengano na Vera Sidika
Mwanamuziki Brown Mauzo ametangaza kwamba yeye na mama ya watoto wake Vera Sidika wameachana.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Mauzo alichapisha ujumbe kwa marafiki na...