Marion Bosire
Wakulima huko Imenti wahimizwa kujisajili
Mbunge wa eneo la Imenti ya kati Moses Kirima amesihi wakulima wa eneo lake wajisajili kwenye mpango wa usambazaji wa mbolea ya bei nafuu...
Jenerali Ogola azungumzia siku 100 tangu kuteuliwa
Mkuu wa majeshi ya Kenya Jenerali Francis Ogolla ametimiza siku 100 afisini tangu kuteuliwa kwake na Rais William Ruto baada ya kustaafu kwa mtangulizi...
Mfumo wa kuweka kesi kidijitali wazinduliwa Mandera
Jaji mkuu Martha Koome amezindua mfumo wa kuweka kesi mahakamani kwa njia ya kidijitali pamoja na kituo cha kusuluhisha mizozo almaarufu Maslaha. Alizindua pia...
Maktaba ya Meli yawasili Mombasa
Wakenya ambao wanapenda kusoma vitabu wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia kutia nanga kwa meli iliyo maktaba katika Bandari ya Mombasa na ambayo itasalia...
Wasimamizi wa hospitali Murang’a waagizwa kujiuzulu
Gavana wa kaunti ya Murang’a Irungu Kang’ata ameagiza wasimamizi wote watano wa hospitali za umma katika kaunti hiyo wajiuzulu katika muda wa wiki mbili...
Mpango wa kuajiri watendakazi vibarua wasimamishwa Laikipia
Serikali ya kaunti ya Laikipia imetangaza kufutiliwa mbali kwa mchakato wa kuajiri wafanyikazi vibarua wa kaunti hiyo, saa chache kabla ya kuanza.
Akizungumza na wanahabari...
Wabunge wapitisha mjadala wa kuanzishwa kwa hazina ya saratani
Wabunge hivi leo wamepitisha mjadala wa kuanzishwa kwa hazina ya kitaifa ya matibabu na udhibiti wa ugonjwa wa saratani.
Mbunge wa eneo la Marakwet Magharibi...
Humphrey Wattanga Mulongo ateuliwa kamishna wa mkuu KRA
Waziri wa fedha Njuguna Ndung'u amemteua Humphrey Wattanga Mulongo kuwa kamishna mkuu wa mamlaka ya kukusanya ushuru nchini KRA.
Kwenye arifa ya gazeti rasmi la...
Chanjo ya dharura ya Polio
Wizara ya Afya itatoa kwa awamu tatu, chanjo ya dharura ya Polio kwa lengo la Kufikia watoto milioni 7.4.
Awamu ya kwanza ya kampeni hiyo...
Rais Ruto kuanzisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu Nakuru
Jioni ya Jumanne Agosti 22, 2023, Rais William Ruto ataongoza hafla ya kuanzisha mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika eneo bunge...