Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1385 POSTS 0 COMMENTS

Bunge kuandaa kikao cha mabadiliko ya tabia nchi kesho

0
Bunge la Kenya litaandaa kikao cha mazungumzo bungeni kuhusu mabadiliko ya tabia nchi kesho Jumatano, Septemba 6, 2023. Haya ni kulingana na taarifa ya pamoja...

Kilichosababisha mapigano ya raia wa Eritrea nchini Israel

0
Halfa iliyoandaliwa na ubalozi wa Eritrea jijini Tel Aviv nchini Israel ya kuadhimisha miaka 30 ya uhuru wa Eritrea ndiyo ilichochea mapigano kati ya...

Alex Okosi ateuliwa Mkurugenzi Mtendaji wa Google Barani Afrika

0
Kampuni ya Google imetangaza uteuzi wa Alex Okosi raia wa Nigeria kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake barani Afrika. Kabla ya kuteuliwa kwa wadhifa huo mpya, Okosi...

Netanyahu ataka raia wa Eritrea waliohusika kwenye maandamano warejeshwe kwao

0
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anataka raia wa Eritrea ambao walihusika kwenye maandamano yaliyoghubikwa na vurugu jijini Tel Aviv warejeshwe nchini kwao mara...

Rais Ruto aendesha gari linalotumia umeme Nairobi

0
Jumapili Septemba 3 2023, Rais William Ruto alijiendesha mwenyewe kwenye gari linalotumia umeme kutoka Ikulu ya Nairobi hadi jumba la KICC kuhudhuria mkutano wa...

Raia waandamana Niger wakitaka balozi wa Ufaransa aondoke

0
Raia wengi ambao wanaunga mkono mapinduzi ya hivi maajuzi ya serikali ya nchi hiyo, waliandamana katika jiji kuu Niamey wakiitaka Ufaransa iondoe balozi wake...

Familia 50 zaachwa bila makao Kiambu kufuatia mkasa wa moto

0
Mali ya thamani isiyojulikana imeharibiwa na familia 50 kuachwa bila makao baada ya moto kuteketeza nyumba zao usiku wa manane katika kijiji cha Farmers...

Majambazi wavamia shule huko Kirinyaga

0
Ijumaa Septemba 1, 2023,  usiku, majambazi walivamia shule ya kutwa ya mseto na ya upili ya Kiaga huko Kirinyaga na maafisa wa polisi wameanzisha...

50 Cent aumiza mwanamke kwa kipaaza sauti

0
Mwanamuziki wa Marekani Curtis Jackson maarufu kama 50 Cent alirusha kipaaza sauti kutoka jukwaani kwenye tamasha ya hivi maajuzi ambacho kilimgonga na kumuumiza mwanamke...

Mudavadi kumwakilisha Rais Ruto Zimbabwe

0
Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia Mudavadi anaondoka nchini leo kuelekea jijini Harare nchini Zimbabwe ambako anakwenda kumwakilisha Rais William Ruto kwa sherehe ya...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS