Marion Bosire
Bunge kuandaa kikao cha mabadiliko ya tabia nchi kesho
Bunge la Kenya litaandaa kikao cha mazungumzo bungeni kuhusu mabadiliko ya tabia nchi kesho Jumatano, Septemba 6, 2023.
Haya ni kulingana na taarifa ya pamoja...
Kilichosababisha mapigano ya raia wa Eritrea nchini Israel
Halfa iliyoandaliwa na ubalozi wa Eritrea jijini Tel Aviv nchini Israel ya kuadhimisha miaka 30 ya uhuru wa Eritrea ndiyo ilichochea mapigano kati ya...
Alex Okosi ateuliwa Mkurugenzi Mtendaji wa Google Barani Afrika
Kampuni ya Google imetangaza uteuzi wa Alex Okosi raia wa Nigeria kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake barani Afrika.
Kabla ya kuteuliwa kwa wadhifa huo mpya, Okosi...
Netanyahu ataka raia wa Eritrea waliohusika kwenye maandamano warejeshwe kwao
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anataka raia wa Eritrea ambao walihusika kwenye maandamano yaliyoghubikwa na vurugu jijini Tel Aviv warejeshwe nchini kwao mara...
Rais Ruto aendesha gari linalotumia umeme Nairobi
Jumapili Septemba 3 2023, Rais William Ruto alijiendesha mwenyewe kwenye gari linalotumia umeme kutoka Ikulu ya Nairobi hadi jumba la KICC kuhudhuria mkutano wa...
Raia waandamana Niger wakitaka balozi wa Ufaransa aondoke
Raia wengi ambao wanaunga mkono mapinduzi ya hivi maajuzi ya serikali ya nchi hiyo, waliandamana katika jiji kuu Niamey wakiitaka Ufaransa iondoe balozi wake...
Familia 50 zaachwa bila makao Kiambu kufuatia mkasa wa moto
Mali ya thamani isiyojulikana imeharibiwa na familia 50 kuachwa bila makao baada ya moto kuteketeza nyumba zao usiku wa manane katika kijiji cha Farmers...
Majambazi wavamia shule huko Kirinyaga
Ijumaa Septemba 1, 2023, usiku, majambazi walivamia shule ya kutwa ya mseto na ya upili ya Kiaga huko Kirinyaga na maafisa wa polisi wameanzisha...
50 Cent aumiza mwanamke kwa kipaaza sauti
Mwanamuziki wa Marekani Curtis Jackson maarufu kama 50 Cent alirusha kipaaza sauti kutoka jukwaani kwenye tamasha ya hivi maajuzi ambacho kilimgonga na kumuumiza mwanamke...
Mudavadi kumwakilisha Rais Ruto Zimbabwe
Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia Mudavadi anaondoka nchini leo kuelekea jijini Harare nchini Zimbabwe ambako anakwenda kumwakilisha Rais William Ruto kwa sherehe ya...