Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1333 POSTS 0 COMMENTS

Wauza mvinyo 15 wakamatwa Mombasa na maafisa wa NACADA

0
Watu 15 wanaojihusisha na uuzaji wa pombe huko Mombasa wamekamatwa na maafisa wa mamlaka ya kupambana na matumizi mabaya ya pombe na mihadarati NACADA...

Baraza la vyombo vya habari latoa mafunzo kwa wanahabari Meru

0
Wanahabari wamehimizwa wawe wakiangazia uanahabari wenye suluhu kama njia ya kutoa ushauri kuhusu suluhisho za matatizo mbali mbali yanayokumba jamii badala ya kuripoti tu. Akizungumza...

Baraza la walemavu lahamasisha kuhusu mpango mpya Machakos

0
Baraza la walemavu nchini NCPWD liliandaa mkutano wa uhamasisho kuhusu mpango mpya wa mtaji wa kuanza biashara kando na vifaa vya kazi huko Mchakos...

Jamie Foxx kuhadithia kuhusu kuugua kwake kwenye onyesho lake la Atlanta

0
Mwigizaji, mwimbaji na mchekeshaji Eric Marlon Bishop maarufu kama Jamie Foxx, ameahidi kumwaga mtama kuhusu jinsi aliugua na kulazwa hospitalini mwaka jana kwenye onyesho...

Katibu wa baraza la mawaziri Mercy Wanjau asema Kenya inatambua ujumuishaji...

0
Mercy wanjau katibu wa baraza la mawaziri humu nchini amesema kwamba Kenya inatambua ujumuishaji wa walemavu. Akizungumza wakati wa kuzinduliwa kwa kongamano la kabla ya...

Bobi Wine aondoka hospitalini

0
Mwanamuziki na mwanasiasa Bobi Wine aliruhusiwa kuondoka hospitalini jana alikopelekwa Jumanne baada ya kujeruhiwa mguu katika makabiliano na maafisa wa polisi. Awali wasaidizi wake walitangaza...

Mwigizaji Winnie Bwire afariki

0
Mwigizaji maarufu Winnie Bwire amefariki. Anaripotiwa kuaga dunia akiendelea kupokea matibabu ya saratani kwenye hospitali moja nchini Uturuki kulingana na familia yake. Bwire amekuwa akiugua...

Waziri Mvurya akutana na katibu mkuu wa ACFTA

0
Waziri wa biashara, uwekezaji na viwanda Salim Mvurya, leo alikuwa mwenyeji wa katibu mkuu wa mpango wa eneo huru la kibiashara barani Afrika almaarufu...

Kiengei akutana na Pritty Vishy na usimamizi wake

0
Askofu Benson Gathungu Kamau maarufu kama Muthee Kiengei leo amefanya mkutano na mwanamitandao Pritty Vishy na usimamizi wake baada ya kukashifiwa vikali mitandaoni kwa...

Jamaa ajiteka ili kudai fidia kwa wazazi Tanzania

0
Jamaa kwa jina Ramadhani Shaban wa umri wa miaka 21 amekamatwa na maafisa wa polisi wa mkoa wa Kigoma kwa madai ya kutoa taarifa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS