Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1371 POSTS 0 COMMENTS

Akiba na mikopo Kwale

0
Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani amezindua rasmi usambazaji wa Kompyuta 20 pamoja na vichapishaji kwa hazina za akiba na mikopo kwa wakulima...

Mohbad akumbukwa na mkewe mwaka mmoja tangu alipoaga dunia

0
Mke wa mwanamuziki wa Nigeria Ilerioluwa Oladimeji Aloba ambaye wengi walimgfahamu kama Mohbad amemkumbuka anapoadhimisha mwaka mmoja tangu alipoaga dunia. Wunmi alitumia mitandao ya kijamii...

Wakazi wa Nyacaba waomboleza kifo cha mtoto aliyeuawa na fisi

0
Familia, marafiki, na wanajamii walikusanyika kumuaga mtoto mdogo prince njoroge gitau, mvulana wa miaka mitano aliyeuawa kikatili na fisi katika kijiji cha flat, Nyacaba...

P Diddy akabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji

0
Mwanamuziki wa Marekani Sean ‘Diddy’ Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji na kumtumia vibaya mmoja wa washiriki wa kipindi chake cha runinga kilichofahamika...

Mikie Wine amtetea Bobi Wine kwa kutohudhuria tamasha lake

0
Mwanamuziki wa Uganda Michael Mukwaya maarufu kama Mikie Wine amemtetea kakake mkubwa Bobi Wine kwa kutohudhuria tamasha lake wikendi iliyopita. Mikie aliandaa tamasha katika eneo...

Polisi watumia vitoa machozi kutawanya wafanyabiashara walioandamana Nairobi

0
Maafisa wa polisi wamelazimika kutumia gesi ya kutoza machozi kutawanya waandamanaji wafanyabiashara waliofunga barabara za kuingia katikati ya jiji la Nairobi karibu na soko...

Madai ya ubaguzi: Mameneja wa BAT wahojiwa na bunge

0
Kamati ya Biashara, Viwanda na Ushirika inaendeleza uchunguzi wake kuhusu madai kwamba kampuni za kimataifa zinabagua wawekezaji wa humu nchini wa sekta ya uchukuzi...

Kamati ya bunge kuhusu maji yahoji matumizi yaliyopitiliza ya fedha katika...

0
Kamati ya bunge kuhusu Uchumi wa baharini, Maji na unyunyiziaji mashamba maji ikiongozwa na mwenyekiti Kangogo Bowen mbunge wa Marakwet Mashariki ilikutana na wawakilishi...

Mpango wa kurejea kazini wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege waafikiwa

0
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege waliokuwa wakigoma kuanzia usiku wa manane jana sasa wameafikia makubaliano ya kurejelea kazi na wawakilishi wa mashirika husika na...

Mahakama ya upeo yamaliza kusikiliza rufaa ya sheria ya fedha ya...

0
Mahakama ya upeo leo imehitimisha kusikiliza Ombi lililotolewa na asasi mbali mbali za serikali ikiwa ni pamoja na Bunge, afisi ya Mwanasheria Mkuu na...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS