Marion Bosire
Michezo ya KICOSCA kuandaliwa Kakamega
Kaunti ya Kakamega itakuwa mwenyeji wa michezo ya kicosca mwezi huu huku gavana wa Kaunti hiyo, Fernandes Barasa, akiteuliwa kinara wa michezo ya Serikali...
Timu ya Kenya Simbaz yaandaa mazoezi Kakamega
Timu ya taifa ya raga ya wachezaji 15 kila upande, maarufu kama "Kenya Simba," imekita kambi katika Kaunti ya Kakamega kwa maandalizi ya mechi...
Diddy ataka mahakama izuie wahusika wa kesi dhidi yake kuizungumzia hadharani
Mawakili wa mwanamuziki aliye kizuizini P Diddy wameomba jaji atoe maagizo ya kuzuia wahusika wa kesi dhidi yake kuizungumzia nje ya mahakama.
Mawakili hao walitaja...
Mwelekezi wa filamu Dimeji Ajibola afariki
Dimeji Ajibola ambaye ni mwelekezi wa filamu za Nollywood nchini Nigeria amefariki.
Kando na kuelekeza filamu, Ajibola, alikuwa pia anahusika na uhariri wa filamu kama...
Nadia Mukami achukua mapumziko kuangazia afya yake
Mwanamuziki nyota wa Kenya Nadia Mukami ametangaza kwamba amechukua mapumziko ili aweze kuangazia afya yake.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, mwimbaji huyo alielezea kwamba alizirai...
Rais Samia amwomboleza Grace Mapunda
Kiongozi wa taifa la Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan leo alimwomboleza mwigizaji mkongwe Grace Mapunda aliyefariki baada ya kuugua kwa muda.
Kupitia mitandao ya kijamii...
Katibu wa chama tawala nchini China awasili nchini Kenya kwa ziara...
Katibu wa Chama tawala nchini China Li Xi, yuko humu nchini kwa ziara rasmi ya siku tatu na anatarajiwa kukutana na Rais William Ruto...
Upasuaji wa maiti ya Gatwiri wathibitisha kilichosababisha kifo chake
Familia ya marehemu mwigizaji na muunda maudhui mitandoni Tabitha Gatwiri imetoa taarifa kuhusu kilichosababisha kifo chake.
Upasuaji ulifanywa katika makafani ya hospitali ya chuo kikuu...
Kuwa mke wa pili sio rahisi – asema Rita Edochie kuhusu...
Shangazi ya mwigizaji Yul Edochie Rita Edochie ambaye pia ni mwigizaji, amemtupia maneno mke wa pili wa Yul, Judy Austin.
Rita alitumia akaunti yake ya...
Mwigizaji Alan Rachins amefariki
Mwigizaji wa Marekani Alan Rachins amefariki akiwa na umri wa miaka 82.
Mke wake aitwaye Joanna Frank ambaye pia ni mwigizaji aliambia wanahabari kwamba Rachins...