Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1165 POSTS 0 COMMENTS

KRG The Don atangaza kwamba anaacha muziki kwa muda

0
Mwanamuziki wa mtindo wa Dancehall KRG The Don ametangaza kwamba anachukua pumziko kutoka kwa biashara ya burudani hususan uimbaji ili aangazie mambo mengine. Kupitia mitandao...

Muda wa agizo la mahakama la kusimamisha jopo la kutathmini deni...

0
Mahakama kuu imeongeza muda wa kusimamisha kikosi kazi kilichoteuliwa na Rais William Ruto kutathmini deni la taifa la Kenya. Jaji Lawrence Mugambi alitoa maagizo hayo...

Duale amshukuru Rais Ruto kwa kumhamishia wizara nyingine

0
Aden Duale, ambaye alihudumu kama waziri wa ulinzi katika baraza lililovunjwa na Rais William Ruto kabla ya kurejeshwa kwenye wadhifa huo huo amemshukuru Rais...

Utulivu washuhudiwa Meru huku maandamano yakiendelea katika sehemu nyingine nchini

Tofauti na sehemu nyingine za nchi, kaunti ya Meru imesalia tulivu bila maandamano ya aina yoyote ya vijana wa Gen Z. Badala ya maandamano, baadhi...

Wanandoa wafa moto Kiambu

Biwi la simanzi limegubika wakazi wa kijiji cha Laare huko Gitithia eneo bunge la Lari kaunti ya Kiambu baada ya mtu na mkewe kuchomeka...

Kilio cha wahudumu wa baharini Kwale

0
Wahudumu wa baharini wakiwemo wavuvi katika eneo la shimoni huko lungalunga kaunti ya kwale, wanamtaka Rais Wiliam Ruto kumrejesha kazini aliyekuwa Waziri wa Madini...

Museveni atoa onyo kali dhidi ya maandamano

0
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ametoa onyo kali kwa wale ambao wanajiandaa kwa maandamano kesho Jumanne, Julai 23, 2024. Museveni ameonya kwamba waandamanaji hao...

Obama amsifia Biden kwa kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais

0
Aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama amemsifia Rais Joe Biden kwa kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais mwaka huu akimtaja kuwa mzalendo halisi. Katika taarifa, Obama...

Marekani yatahadharisha raia wake nchini Kenya kuhusu kemikali ya Cyanide

0
Serikali ya Marekani imetahadharisha raia wake walioko nchini Kenya wasipitie kwenye barabara ya kuu nambari A104 katika eneo la Kambembe huko Rironi, kaunti ya...

Gavana Ndeti na Askofu Oseso wamtaka Rais atafakari anapoteua mawaziri

0
Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti ametoa wito kwa kiongozi wa nchi Rais William Ruto kutafakari vilivyo kabla ya kuteua mawaziri. Akizungumza jana Jumapili...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS