Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1147 POSTS 0 COMMENTS

SRC yasitisha nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa serikali

0
Tume ya Mishahara na Marupurupu nchini, SRC imetangaza kwamba imesitisha mipango yote ya kuongeza mishahara ya maafisa wa serikali katika mwaka wa matumizi ya...

Watu 16 wafariki kwenye moto katika jumba la biashara China

0
Watu wapatao 16 wamethibitishwa kufariki kwenye kisa cha moto katika jumba la biashara katika eneo la kusini magharibi mwa nchi ya China, haya ni...

Oduor asema miili iliyoopolewa Mukuru haina majeraha ya risasi

0
Mwanapatholojia wa serikali Daktari Johansen Oduor jna alitoa ripoti yake baada ya kukagua miili ambayo ilitolewa kwenye timbo linalotumiwa kama jaa la taka mtaani...

Baadhi ya madaktari wanagenzi kuanza kazi Agosti

0
Wizara ya Afya nchini imetangaza kwamba baadhi ya madaktari wanagenzi wataanza kazi Agosti Mosi, 2024. Hatua hii inafuatia kutiwa saini kwa ongezo la makubaliano ya...

Wanahabari kuandamana wiki ijayo kulalamikia ukatili wa polisi

0
Chama cha wanahabari nchini Kenya Union of Journalists - KUJ kimetangaza kwamba wanahabari wataandaa maandamano kote nchini Jumatano wiki ijayo kulalamikia ukatili wa maafisa...

Wakenya waalikwa kutoa maoni kuhusu mswada wa utoaji wa sodo

0
Bunge la seneti limetoa mwaliko kwa wakenya kutoa maoni yao kuhusu mswada wa utoaji wa sodo wa mwaka huu wa 2024. Mswada huo ambao ni...

Waendesha bodaboda waandamana Mlolongo

0
Wahudumu wa bodaboda wanaandamana katika eneo la Mlolongo, kwenye barabara kuu ya kuelekea Mombasa ambapo wamefunga barabara na kusababisha msongamano. Maafisa wa trafiki wamelazimika kuelekeza...

Francis Gaitho kujiwasilisha kwa DCI

0
Mwanamitandao Francis Gaitho amesema kwamba atajiwasilisha kwenye afisi za idara ya upelelezi wa jinai DCI katika jumba la Mazingira leo,wakati wowote kuanzia sasa. Kupitia akaunti...

Jaji David Majanja afariki

0
Jaji wa mahakama kuu David Majanja amefariki. Kifo chake kilijiri leo Jumatano Julai 10, 2024, baada ya upasuaji aliofanyiwa katika hospitali ya Nairobi. Jaji Majanja...

Rais Ruto azindua kituo cha umeme cha Kimuka huko Kajiado

0
Rais William Ruto hivi leo amezindua kituo kidogo cha kuzalisha umeme cha Kimuka katika eneo bunge la Kajiado Magharibi kaunti ya Kajiado. Akizungumza wakati wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS