Marion Bosire
Dogo Janja asherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa njia ya kipekee
Mwanamuziki wa Tanzania Dogo Janja jana Septemba 15, 2024 aliamua kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa njia ya kipekee.
Nyota huyo wa muziki wa Bongo...
Mkutano wa pili wa tume ya kudumu ya Mozambique na Uganda...
Mkutano wa pili wa tume ya pamoja ya kudumu ya Uganda na Mozambique umeanza leo katika hoteli ya Mestil jijini Kampala nchini Uganda. Mkutano...
Maafisa wa polisi kuhojiwa na IPOA kuhusiana na ukatili wakati wa...
Mamlaka huru ya kutathmini utendakazi wa polisi nchini IPOA imewaita maafisa wa polisi zaidi ya 50 kuhojiwa kuhusu visa vya mauaji, majeruhi na vingine...
Wakazi wa Thika wahimizwa kulinda macho dhidi ya matumizi yaliyopitiliza ya...
Wakazi wa Thika wamehimizwa kuepuka maeneo au hali ambazo zinaweza kusababisha mizio inayoathiri macho yao ili kudumisha utunzaji sahihi wa macho.
Ushauri huu unafuatia data...
Usajili wa wakenya watakaokwenda kufanya kazi Ujerumani kufanyika mwezi huu
Rais William Ruto ametangaza kwamba usajili wa kwanza wa wakenya walio na ujuzi katika fani mbali mbali watakaokwenda kufanya kazi nchini Ujerumani utafanyika tarehe...
Wakenya wahakikishiwa usalama baada ya tahadhari ya Marekani
Huduma ya taifa ya polisi imehakikishia wakenya usalama baada ya ubalozi wa Marekani jijini Nairobi kutoa tahadhari ya uwezekano wa mashambulizi.
Taarifa iliyotolewa Jumamosi inasema...
Rais Samia apongeza Daktari aliyetuzwa na chuo cha Havard
Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amempongeza Daktari Karim Manji ambaye ni profesa katika masuala ya tiba ya watoto na vijana.
Hii ni baada...
Waziri Kindiki abuni kamati ya kitaifa ya kuongoza utekelezaji wa mabadiliko...
Waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki ameteua kamati ya kitaifa ya kuongoza utekelezaji wa mabadiliko yaliyopendekezwa na jopo lililokuwa likiongozwa na jaji mkuu...
Mamake Mr. Seed azikwa huko Siaya
Mama ya mwanamuziki Mr. Seed alizikwa jana Jumamosi Septemba 14, 2024 nyumbani kwao huko Siaya.
Mzazi huyo wa Mr. seed amekuwa akiugua kwa muda wa...
Demi Moore asema Bruce Willis yuko sawa
Mwigizaji wa Marekani Demi Moore amesema kwamba aliyekuwa mume wake Bruce Willis ambaye anaugua ugonjwa wa 'dementia' yuko imara.
Alikuwa akizungumza kwenye mahojiano na mwigizaji...