Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1474 POSTS 0 COMMENTS

Yul Edochie ajibu nduguye Lincoln kuhusu kuonyesha ndoa yake mitandaoni

0
Mwigizaji wa Nollywood ambaye pia anahusika na uandaaji wa filamu Yul Edochie, amemjibu kakake mkubwa Lincoln Edochie aliyemshauri aache kuweka ndoa yake na mke...

Rotimi asema Jay Z alimsaidia kunoa makali ya uigizaji

0
Mwanamuziki na mwigizaji wa Marekani Olurotimi Akinosho maarufu kama Rotimi amefichua kwamba mwanamuziki Jay Z alimsaidia pakubwa kunoa makali ya uigizaji. Rotimi alikuwa kwenye kundi...

Kamala Harris akubali kushindwa huku Obama akipongeza Trump kwa ushindi

0
Naibu Rais wa Amerika Kamala Harris amekubali kwamba ameshindwa na Donald Trump kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa 2024. Alisema hayo alipohutubia wafuasi wake waliokuwa...

Viongozi wa kamati za bunge wasiohudhuria vikao waonywa

0
Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Kimani Ichung'wah ametoa onyo kali kwa wenyeviti na manaibu wenyeviti wa kamati za bunge akisema kwamba kutohudhuria...

Kamati ya mawasiliano bungeni yasaili CA kuhusu ushuru wa rununu na...

0
Kamati ya bunge kuhusu mawasiliano na ubunifu chini ya uenyekiti wa mbunge wa Dagoretti Kusini John Kiarie, ilimsaili mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano...

Cardi B aghadhabishwa na matokeo ya uchaguzi Marekani

0
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B anaonekana kukasirishwa na matokeo ya uchaguzi wa urais nchini humo ambapo Donald Trump ameibuka mshindi. Cardi B ambaye alikuwa anamuunga...

Umekuwa kama mama kwangu – Bahati amwambia mke wake Diana Marua

0
Mwanamuziki Kevin Bahati alimrejelea mke wake Diana Marua kama mama yake, jinsi amekuwa akitaniwa na wengi, huku akimtakia mema kwenye siku yake ya kuzaliwa. Bahati...

Mwakilishi wa Panama kwenye shindano la Miss Universe azungumza baada ya...

0
Mwakilishi wa taifa la Panama kwenye shindano la Miss Universe Italy Mora, amezungumza kuhusu kuondolewa kwake ghafla kwenye shindano hilo. Alithibitisha kwamba hatua hiyo ni...

Maafisa wa serikali Equatorial Guinea waonywa dhidi ya kufanya mapenzi kazini

0
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea Teodoro Nguema Obiang Mangue ameonya wafanyakazi wa serikali dhidi ya kufanya mapenzi kazini akisema watachukuliwa hatua kali. Onyo hili...

Wanawe Diddy wamkumbuka kwenye siku yake ya kuzaliwa

0
Mwanamuziki aliyezuiliwa P Diddy alitimiza umri wa miaka 55 jana Novemba 4, 2024. Watoto wake saba waliungana na kuwasiliana naye kumtakia heri njema ya...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS