Marion Bosire
Wauza mvinyo 15 wakamatwa Mombasa na maafisa wa NACADA
Watu 15 wanaojihusisha na uuzaji wa pombe huko Mombasa wamekamatwa na maafisa wa mamlaka ya kupambana na matumizi mabaya ya pombe na mihadarati NACADA...
Baraza la vyombo vya habari latoa mafunzo kwa wanahabari Meru
Wanahabari wamehimizwa wawe wakiangazia uanahabari wenye suluhu kama njia ya kutoa ushauri kuhusu suluhisho za matatizo mbali mbali yanayokumba jamii badala ya kuripoti tu.
Akizungumza...
Baraza la walemavu lahamasisha kuhusu mpango mpya Machakos
Baraza la walemavu nchini NCPWD liliandaa mkutano wa uhamasisho kuhusu mpango mpya wa mtaji wa kuanza biashara kando na vifaa vya kazi huko Mchakos...
Jamie Foxx kuhadithia kuhusu kuugua kwake kwenye onyesho lake la Atlanta
Mwigizaji, mwimbaji na mchekeshaji Eric Marlon Bishop maarufu kama Jamie Foxx, ameahidi kumwaga mtama kuhusu jinsi aliugua na kulazwa hospitalini mwaka jana kwenye onyesho...
Katibu wa baraza la mawaziri Mercy Wanjau asema Kenya inatambua ujumuishaji...
Mercy wanjau katibu wa baraza la mawaziri humu nchini amesema kwamba Kenya inatambua ujumuishaji wa walemavu.
Akizungumza wakati wa kuzinduliwa kwa kongamano la kabla ya...
Bobi Wine aondoka hospitalini
Mwanamuziki na mwanasiasa Bobi Wine aliruhusiwa kuondoka hospitalini jana alikopelekwa Jumanne baada ya kujeruhiwa mguu katika makabiliano na maafisa wa polisi.
Awali wasaidizi wake walitangaza...
Mwigizaji Winnie Bwire afariki
Mwigizaji maarufu Winnie Bwire amefariki. Anaripotiwa kuaga dunia akiendelea kupokea matibabu ya saratani kwenye hospitali moja nchini Uturuki kulingana na familia yake.
Bwire amekuwa akiugua...
Waziri Mvurya akutana na katibu mkuu wa ACFTA
Waziri wa biashara, uwekezaji na viwanda Salim Mvurya, leo alikuwa mwenyeji wa katibu mkuu wa mpango wa eneo huru la kibiashara barani Afrika almaarufu...
Kiengei akutana na Pritty Vishy na usimamizi wake
Askofu Benson Gathungu Kamau maarufu kama Muthee Kiengei leo amefanya mkutano na mwanamitandao Pritty Vishy na usimamizi wake baada ya kukashifiwa vikali mitandaoni kwa...
Jamaa ajiteka ili kudai fidia kwa wazazi Tanzania
Jamaa kwa jina Ramadhani Shaban wa umri wa miaka 21 amekamatwa na maafisa wa polisi wa mkoa wa Kigoma kwa madai ya kutoa taarifa...