Marion Bosire
Wahandisi wahimiza ujumuishaji katika kuboresha JKIA
Wahandisi wa humu nchini sasa wanapendekeza kwamba mbinu jumuishi itumike katika mchakato mzima wa kuboresha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA.
Katika...
Miradi ya maji yabadili taswira Kwale
Wakazi katika maeneo kame ya Lunga Lunga na Kinango kwa muda mrefu wamekuwa wakitegemea chakula cha msaada kutokana na maeneo hayo kukumbwa na kiangazi...
Vanesa Chettle kusaidiwa na Gavana Bii
Mwanamitandao Vanesa Cheruto maarufu kama Vanesa Chettle hatimaye amekutana na Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii ambaye ameanza shughuli ya kumsaidia kurejelea...
Shughuli ya kupiga kura kwa tuzo za TMA yaendelea
Wapenzi wa muziki nchini Tanzania wana fursa ya kuwapigia kura wanamuziki wawapendao kwenye tuzo za TMA yaani Tanzania Music Awards.
Kipindi cha kupiga kura kilifunguliwa...
Freddie Jackson kuongoza uhamasisho kuhusu maradhi ya figo
Mwanamuziki wa Marekani Freddie Jackson ambaye alivuma sana miaka ya 1980 ametangaza kwamba anaugua ugonjwa wa figo.
Kwenye video aliyochapisha kwenye akaunti yake ya mtandao...
Kendrick Lamar kutumbuiza kwenye Super Bowl
Mwanamuziki Kendrick Lamar Duckworth maarufu kama Kendrick Lamar ndiye atatumbuiza wakati wa mapumziko kwenye awamu ya 59 ya shindano la kila mwaka la soka...
Mudavadi asisitiza umuhimu wa amani kitaifa na kimataifa
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi amesisitiza umuhimu wa kuhakikisha amani katika kiwango cha kitaifa, kikanda na kimataifa kwa lengo la kuimarisha usalama wa binadamu...
Polisi wahudhuria tamasha la maelewano kwa ajili ya Haiti
Huduma ya Taifa ya Polisi chini ya uongozi wa kaimu Inspekta Mkuu Gilbert Masengeli imeshiriki tamasha kwa jina "Harmony4Haiti" yaani "Maelewano kwa ajili ya...
Mwili wa mwigizaji Bwire Ndubi wawasili nchini kutoka Uturuki
Mwili wa mwigizaji nguli wa humu nchini Winnie Bwire Ndubi uliwasilishwa nchini Jumapili Septemba 8, 2024 kutoka Istanbul Uturuki alikokwenda kutibiwa.
Babake mzazi kwa jina...
KFCB kushirikiana na TikTok kuhamasisha umma kuhusu usalama mtandaoni
Usimamizi wa bodi ya kuorodhesha filamu nchini KFCB umetangaza ujio wa kampeni ya uhamasisho kuhusu usalama mitandaoni itakayoandaliwa kwa ushirikiano na kampuni ya TikTok.
Hii...