Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1477 POSTS 0 COMMENTS

Rais Ruto atoa wito wa hatua za haraka kukabiliana na njaa

0
Rais William Ruto amesisitiza haja ya hatua za pamoja na za haraka za kukabiliana na njaa na kuhakikisha upatikanaji wa chakula kwa mamilioni ya...

Kifungo cha miezi mitatu kwa mrembo wa Rwanda Divine Muheto

0
Divine Muheto mshikilizi wa taji ya Miss Rwanda mwaka 2022 atatumikia kifungo cha miezi mitatu, hukumu iliyotolewa dhidi yake na mahakama ya Kicukiro nchini...

Mwili wa Gatwiri kuzikwa Ijumaa ijayo

0
Familia ya mwigizaji na muunda maudhui mitandaoni Brenda Tabitha Gatwiri imetangaza kwamba mwili wake utazikwa nyumbani kwa babake huko Meru, Ijumaa Novemba 15, 2024. Hafla...

Yul Edochie ajibu nduguye Lincoln kuhusu kuonyesha ndoa yake mitandaoni

0
Mwigizaji wa Nollywood ambaye pia anahusika na uandaaji wa filamu Yul Edochie, amemjibu kakake mkubwa Lincoln Edochie aliyemshauri aache kuweka ndoa yake na mke...

Rotimi asema Jay Z alimsaidia kunoa makali ya uigizaji

0
Mwanamuziki na mwigizaji wa Marekani Olurotimi Akinosho maarufu kama Rotimi amefichua kwamba mwanamuziki Jay Z alimsaidia pakubwa kunoa makali ya uigizaji. Rotimi alikuwa kwenye kundi...

Kamala Harris akubali kushindwa huku Obama akipongeza Trump kwa ushindi

0
Naibu Rais wa Amerika Kamala Harris amekubali kwamba ameshindwa na Donald Trump kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa 2024. Alisema hayo alipohutubia wafuasi wake waliokuwa...

Viongozi wa kamati za bunge wasiohudhuria vikao waonywa

0
Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Kimani Ichung'wah ametoa onyo kali kwa wenyeviti na manaibu wenyeviti wa kamati za bunge akisema kwamba kutohudhuria...

Kamati ya mawasiliano bungeni yasaili CA kuhusu ushuru wa rununu na...

0
Kamati ya bunge kuhusu mawasiliano na ubunifu chini ya uenyekiti wa mbunge wa Dagoretti Kusini John Kiarie, ilimsaili mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano...

Cardi B aghadhabishwa na matokeo ya uchaguzi Marekani

0
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B anaonekana kukasirishwa na matokeo ya uchaguzi wa urais nchini humo ambapo Donald Trump ameibuka mshindi. Cardi B ambaye alikuwa anamuunga...

Umekuwa kama mama kwangu – Bahati amwambia mke wake Diana Marua

0
Mwanamuziki Kevin Bahati alimrejelea mke wake Diana Marua kama mama yake, jinsi amekuwa akitaniwa na wengi, huku akimtakia mema kwenye siku yake ya kuzaliwa. Bahati...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS