Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1169 POSTS 0 COMMENTS

Wanahabari Machakos waapa kuzingatia maadili wakitaka vitisho vikome

Wanahabari kaunti ya Machakos wameapa kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili ila wanatoa onyo kwamba hawafai kutishiwa wakiwa kazini. Wakizungumza walipoungana na wenzao katika maandamano...

Rais Ruto awapandisha vyeo wakuu kadhaa wa jeshi

0
Rais William Ruto amefanya mabadiliko kadhaa katika uongozi wa jeshi ambapo wengine wamepandishwa vyeo huku wengine wakiteuliwa. Uamuzi huu unafuatia ushauri aliopokea Rais kutoka kwa...

Serikali kusaidia familia za waliofariki kwenye maandamano

0
Rais William Ruto amesema kwamba serikali itatoa usaidizi kwa familia za waliopoteza maisha kwenye maandamano nchini. Akizungumza katika ikulu ya Nairobi wakati wa kutoa orodha...

Wanahabari wa Meru waungana na wenzao kote nchini katika maandamano

Huku wanahabari kote nchini wakijitokeza kwa maandamano kulalamikia ukatili wa polisi wakati wa maandamano ya Gen Z, wanahabari wa Meru kwa uongozi wa chama...

KRG The Don atangaza kwamba anaacha muziki kwa muda

0
Mwanamuziki wa mtindo wa Dancehall KRG The Don ametangaza kwamba anachukua pumziko kutoka kwa biashara ya burudani hususan uimbaji ili aangazie mambo mengine. Kupitia mitandao...

Muda wa agizo la mahakama la kusimamisha jopo la kutathmini deni...

0
Mahakama kuu imeongeza muda wa kusimamisha kikosi kazi kilichoteuliwa na Rais William Ruto kutathmini deni la taifa la Kenya. Jaji Lawrence Mugambi alitoa maagizo hayo...

Duale amshukuru Rais Ruto kwa kumhamishia wizara nyingine

0
Aden Duale, ambaye alihudumu kama waziri wa ulinzi katika baraza lililovunjwa na Rais William Ruto kabla ya kurejeshwa kwenye wadhifa huo huo amemshukuru Rais...

Utulivu washuhudiwa Meru huku maandamano yakiendelea katika sehemu nyingine nchini

Tofauti na sehemu nyingine za nchi, kaunti ya Meru imesalia tulivu bila maandamano ya aina yoyote ya vijana wa Gen Z. Badala ya maandamano, baadhi...

Wanandoa wafa moto Kiambu

Biwi la simanzi limegubika wakazi wa kijiji cha Laare huko Gitithia eneo bunge la Lari kaunti ya Kiambu baada ya mtu na mkewe kuchomeka...

Kilio cha wahudumu wa baharini Kwale

0
Wahudumu wa baharini wakiwemo wavuvi katika eneo la shimoni huko lungalunga kaunti ya kwale, wanamtaka Rais Wiliam Ruto kumrejesha kazini aliyekuwa Waziri wa Madini...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS