Marion Bosire
Maafisa wa serikali Equatorial Guinea waonywa dhidi ya kufanya mapenzi kazini
Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea Teodoro Nguema Obiang Mangue ameonya wafanyakazi wa serikali dhidi ya kufanya mapenzi kazini akisema watachukuliwa hatua kali.
Onyo hili...
Wanawe Diddy wamkumbuka kwenye siku yake ya kuzaliwa
Mwanamuziki aliyezuiliwa P Diddy alitimiza umri wa miaka 55 jana Novemba 4, 2024. Watoto wake saba waliungana na kuwasiliana naye kumtakia heri njema ya...
Selena Gomez ajibu wakosoaji wake
Mwimbaji wa Marekani Selena Gomez ambaye pia ni mwigizaji na mfanyabiashara ametetea mwonekano wake.
Gomez wa umri wa miaka 32 alikuwa akijibu wakosoaji wake mitandaoni...
Wakulima Kirinyaga wafaidi kutokana na miradi ya unyunyiziaji mashamba maji
Wakulima katika Kaunti ya Kirinyaga wanavuna sana kutokana na miradi ya unyunyiziaji mashamba maji iliyoanzishwa na Serikali ya Kaunti.
Miradi hiyo inayolenga kuongeza upatikanaji wa...
Chiwetalu Agu ashauri vijana kuhusu mapenzi
Mwigizaji mkongwe wa filamu za Nollywood nchini Nigeria Chiwetalu Agu, ametoa ushauri kwa vijana ambao wana tabia ya kuumiza wapenzi wao, kuwaacha na kuendelea...
Michezo ya KICOSCA kuandaliwa Kakamega
Kaunti ya Kakamega itakuwa mwenyeji wa michezo ya kicosca mwezi huu huku gavana wa Kaunti hiyo, Fernandes Barasa, akiteuliwa kinara wa michezo ya Serikali...
Timu ya Kenya Simbaz yaandaa mazoezi Kakamega
Timu ya taifa ya raga ya wachezaji 15 kila upande, maarufu kama "Kenya Simba," imekita kambi katika Kaunti ya Kakamega kwa maandalizi ya mechi...
Diddy ataka mahakama izuie wahusika wa kesi dhidi yake kuizungumzia hadharani
Mawakili wa mwanamuziki aliye kizuizini P Diddy wameomba jaji atoe maagizo ya kuzuia wahusika wa kesi dhidi yake kuizungumzia nje ya mahakama.
Mawakili hao walitaja...
Mwelekezi wa filamu Dimeji Ajibola afariki
Dimeji Ajibola ambaye ni mwelekezi wa filamu za Nollywood nchini Nigeria amefariki.
Kando na kuelekeza filamu, Ajibola, alikuwa pia anahusika na uhariri wa filamu kama...
Nadia Mukami achukua mapumziko kuangazia afya yake
Mwanamuziki nyota wa Kenya Nadia Mukami ametangaza kwamba amechukua mapumziko ili aweze kuangazia afya yake.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, mwimbaji huyo alielezea kwamba alizirai...