Marion Bosire
Serikali kuboresha utendakazi wa JKIA
Serikali imetangaza mabadiliko kadhaa yanayolenga kuboresha huduma kwa abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta JKIA.
Mpango huo unaohusisha serikali yote unalenga...
Maina Njenga aondolewa mashtaka
Aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga sasa yuko huru baada ya afisi ya mkurugenzi wa madhtaka ya umma DPP kuondoa mashtaka...
Hafla ya kumuenzi Gatwiri kuandaliwa leo
Kamati andalizi ya mazishi ya muunda maudhui mitandaoni Tabitha Gatwiri pamoja na falimia yake wametangaza kwamba hafla ya kumuenzi itaandaliwa jioni ya leo.
Hafla hiyo...
Papa Noel amefariki
Mwanamuziki wa Congo Papa Noel Nedule ameaga dunia. Anaaminika kukata roho akiwa jijini Brussels nchini Ubelgiji.
Papa Noel anafahamika sana kwa albamu yake iitwayo "Bel...
Serikali yazindua mabadiliko ya kiuchumi yanayolenga kuhakikisha haki katika ushuru
Msemaji wa serikali Isaac Mwaura ameainisha hali ya uchumi wa Kenya na mabadiliko yatakayotekelezwa chini ya mpango wa 'Bottom-Up'.
Alikuwa akizungumza na wanahabari leo Novemba...
Gachagua aondolewa katika wadhifa wa naibu kiongozi wa chama cha UDA
Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ameondolewa kwenye wadhifa wa naibu mwenyekiti wa chama tawala UDA, na mahala pake kuchukuliwa na naibu rais Kithure Kindiki.
Katika...
Billnass amsifia mkewe Nandy
Mwanamuziki na mfanyabiashara wa Tanzania William Nicholaus Lyimo maarufu kama Billnass amemsifia mke wake Nandy ambaye pia ni mwanamuziki, anaposherehekea siku ya kuzaliwa.
Kupitia akaunti...
JLO aondoka kwenye hafla ya maonyesho ya filamu baada ya kuulizwa...
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez almaarufu JLO anaripotiwa kuondoka kwenye hafla ya uzinduzi wa filamu yake baada ya kuulizwa kuhusu P Diddy.
Lopez alikuwa amehudhuria...
Kambua atimiza umri wa miaka 40
Mwimbaji wa nyimbo za injili Kambua, ametimiza umri wa miaka 40 na hangeficha furaha yake.
Alichapisha picha za kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo...
Katibu Omollo ahudhuria misa ya vikosi vya usalama
Katibu wa usalama wa taifa Raymond Omollo alijiunga na maafisa wa vikosi mbali mbali vya usalama nchini kwa misa yao ya kila mwaka ya...