Marion Bosire
Beyonce aendelea kutafuta kusajili jina la Blue Ivy kama nembo
Mwanamuziki wa Marekani Beyonce anaendelea kutafuta usajili wa jina la binti yake Blue Ivy kama nembo ya kibiashara.
Mawakili wake wanaendelea kuvutana na afisi ya...
Jaji mkuu ataka hatua za haraka zichukuliwe kuhusiana na mauaji ya...
Jaji mkuu Martha Koome anataka hatua za haraka zichukuliwe kuhusiana na ripoti iliyotolewa na Inspekta Jenerali wa polisi iliyosema kwamba wanawake 97 wameuawa katika...
Gen Mega Dee sasa ni Daktari
Mwanamuziki wa Uganda Gen Mega Dee anayeishi Marekani ametangaza kwamba amehitimu kama daktari.
Dee alihamia Marekani mwaka 2017 akiwa na ari ya kusomea kozi ya...
Tuzo za wanawake wasanii na wanamichezo kuandaliwa mwezi ujao Tanzania.
Yvonne Cherrie Khamis, ambaye ni mwigizaji nchini Tanzania na ambaye wengi wanamfahamu kama Monalisa ametangaza kwamba msimu wa pili wa tuzo za wanawake walio...
Mwanamitandao Tabitha Gatwiri afariki
Mchekeshaji na muunda maudhui mitandaoni nchini Kenya Tabitha Gatwiri amefariki.
Kifo chake kimetangazwa mitandaoni na waigizaji wenzake wanaosema kwamba aliugua kwa muda mfupi kabla ya...
Mlimbwende mahakamani kwa kukiuka sheria za trafiki Rwanda
Divine Muheto ambaye alishinda taji ya ulimbwende nchini Rwanda mwaka 2022 alifikishwa katika mahakama ya Kicukiro leo Alhamisi Oktoba 31, 2024 kufuatia makosa ya...
Dishi na County: Mpango wa lishe shuleni unaobadili maisha Nairobi
Mwaka mmoja tangu kuanzishwa, mpango wa lishe shuleni kwa jina "Dishi na County" umefanikiwa pakubwa huku ukigusa maisha ya wengi katika kaunti ya Nairobi.
Kulingana...
Banky W aunga mkono kampeni ya wanawake kuwezeshwa kifedha
Mwanamuziki wa Nigeria Banky Wellington ambaye sasa anaishi nchini Marekani na familia yake, ameunga mkono kampeni ya kuwezesha wanawake kifedha #HerMoneyHerPower.
Amechapisha video inayomwonyesha akitekeleza...
Jua Cali aendelea kupata nafuu
Mwanamuziki wa mtindo wa Genge nchini Kenya Jua Cali anaendelea kupata nafuu baada ya kuugua na hata kulazwa hospitalini.
Alichapisha picha kwenye akaunti yake ya...
Tuzo za Trace kuandaliwa Zanzibar mwakani
Waandalizi wa tuzo za Trace wametangaza kwamba awamu ya pili ya tuzo hizo za kila mwaka itaandaliwa katika kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania.
Awamu hiyo...