Marion Bosire
Ufafanuzi kuhusu miradi iliyokwama katika kaunti ya Kwale
Serikali ya kaunti ya Kwale imefafanua kuhusu kuwepo kwa miradi iliyokwama katika eneo hilo.
Kucheleweshwa kwa miradi hiyo kulingana na serikali ya Kwale, kunatokana na...
Rais Ruto ateua wenyeviti na wanachama wa tume na bodi mbali...
Rais William Ruto ameteua wenyeviti na wanachama wa bodi na tume mbali mbali humu nchini.
Katika taarifa iliyotiwa saini na mkuu wa utumishi wa umma...
Khaligraph Jones aingiana na utani kuhusu jumba lake
Saa chache baada ya jumba lake kuzua minong'ono mitandaoni, mwanamuziki Khaligraph Jones ameamua kufuata mkondo wa utani mitandaoni unaohusu jumba lake.
Alichapisha picha inayomwonyesha akiwa...
Zuchu na Diamond wameachana
Mwanamuziki wa Tanzania Zuhura Othman maarufu kama Zuchu ametangaza kwamba yeye na mwanamuziki mwenza wameamua kuachana rasmi.
Aliandika hayo kwenye akaunti yake ya Instagram na...
Mgomo wa wahadhiri waendelea huku ahadi ya serikali ya ufadhili ikiwa...
Mgomo unaoendelea wa wahadhiri wa vyuo vikuu hauonyeshi dalili zozote za kukoma, huku kujitolea kwa serikali kufadhili mapatano ya shilingi bilioni 4.3 kukighubikwa na...
Serikali kuboresha utendakazi wa JKIA
Serikali imetangaza mabadiliko kadhaa yanayolenga kuboresha huduma kwa abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta JKIA.
Mpango huo unaohusisha serikali yote unalenga...
Maina Njenga aondolewa mashtaka
Aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga sasa yuko huru baada ya afisi ya mkurugenzi wa madhtaka ya umma DPP kuondoa mashtaka...
Hafla ya kumuenzi Gatwiri kuandaliwa leo
Kamati andalizi ya mazishi ya muunda maudhui mitandaoni Tabitha Gatwiri pamoja na falimia yake wametangaza kwamba hafla ya kumuenzi itaandaliwa jioni ya leo.
Hafla hiyo...
Papa Noel amefariki
Mwanamuziki wa Congo Papa Noel Nedule ameaga dunia. Anaaminika kukata roho akiwa jijini Brussels nchini Ubelgiji.
Papa Noel anafahamika sana kwa albamu yake iitwayo "Bel...
Serikali yazindua mabadiliko ya kiuchumi yanayolenga kuhakikisha haki katika ushuru
Msemaji wa serikali Isaac Mwaura ameainisha hali ya uchumi wa Kenya na mabadiliko yatakayotekelezwa chini ya mpango wa 'Bottom-Up'.
Alikuwa akizungumza na wanahabari leo Novemba...