Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1566 POSTS 0 COMMENTS

Mahakama Kuu yasimamisha fadhila za wakfu wa Bill & Melinda Gates

0
Katika uamuzi uliotolewa leo Novemba 25, 2024, Mahakama Kuu imetoa maagizo ya muda ya kusitisha fadhila zilizokuwa zimetolewa awali kwa wakfu wa Bill &...

Waziri Migosi atoa hakikisho juu ya mfumo wa ufadhili wa elimu...

0
Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba amekiri kwamba mfumo mpya wa ufadhili wa elimu ya juu uliozinduliwa mwaka jana haujaafikia matokeo yaliyotarajiwa. Akizungumza baada ya...

Sho Madjozi kuondokea muziki

0
Mwanamuziki wa asili ya Afrika Kusini Sho Madjozi, ambaye jina lake halisi ni Maya Wegerif ametangaza kwamba anaachana na muziki baada ya kuzindua albamu...

KEWOPA kuandaa hafla ya kuzindua maadhimisho ya uanaharakati dhidi ya dhuluma...

0
Leo, Novemba 25, 2024 ni siku ya kimataifa ya juhudi za kutokomeza dhuluma za kijinsia hasa dhidi ya wanawake. Siku hii ni mwanzo pia wa...

Awamu ya mwaka huu ya DKFF kuandaliwa Disemba

0
Awamu ya mwaka huu ya tamasha la filamu la watu walio na ulemavu wa kusikia yaani Deaf Kenya Film Festival - DKFF, itaandaliwa Disemba...

Grace Jabbari atupilia mbali kesi dhidi ya Jonathan Majors

0
Mpenzi wa zamani wa mwigizaji wa Hollywood Jonathan Majors, Grace Jabbari ametupilia mbali kesi ya ushambuliaji na kuchafuliwa jina aliyokuwa amewasilisha dhidi ya Majors. Inaripotiwa...

Kamati ya masuala ya jinsia kuzinduliwa leo

0
Wizara ya masuala ya vijana, uchumi wa ubunifu na michezo inapanga kuzindua kamati ya masuala ya jinsia na utekelezaji hii leo, Jumatatu Novemba 25,...

Rais Ruto ahimiza umoja kati ya Wakenya

0
Rais William Ruto amehimiza Wakenya wawe na umoja huku akilitaka kanisa kuendelea kuhubiri amani. Akizungumza katika ibada ya pamoja huko Kipsitet kaunti ya Kericho, Rais...

Dem wa Facebook arejelea soka

0
Millicent Ayuwa maarufu kama Dem wa Facebook amerejelea fani yake ya awali ambayo ni kucheza soka. Alitambulishwa rasmi kama mmoja wa wachezaji kwenye timu ya...

Da Rest asajili kampuni yake ya kurekodi muziki na kusimamia wasanii

0
Mwanamuziki wa Rwanda Prince Ishimwe maarufu kama Da Rest, amesajili kampuni yake ya kurekodi muziki na kusimamia wanamuziki kwa jina 'Eeey D Entertainment'. Da Rest...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS