Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1160 POSTS 0 COMMENTS

Kilio cha wahudumu wa baharini Kwale

0
Wahudumu wa baharini wakiwemo wavuvi katika eneo la shimoni huko lungalunga kaunti ya kwale, wanamtaka Rais Wiliam Ruto kumrejesha kazini aliyekuwa Waziri wa Madini...

Museveni atoa onyo kali dhidi ya maandamano

0
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ametoa onyo kali kwa wale ambao wanajiandaa kwa maandamano kesho Jumanne, Julai 23, 2024. Museveni ameonya kwamba waandamanaji hao...

Obama amsifia Biden kwa kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais

0
Aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama amemsifia Rais Joe Biden kwa kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais mwaka huu akimtaja kuwa mzalendo halisi. Katika taarifa, Obama...

Marekani yatahadharisha raia wake nchini Kenya kuhusu kemikali ya Cyanide

0
Serikali ya Marekani imetahadharisha raia wake walioko nchini Kenya wasipitie kwenye barabara ya kuu nambari A104 katika eneo la Kambembe huko Rironi, kaunti ya...

Gavana Ndeti na Askofu Oseso wamtaka Rais atafakari anapoteua mawaziri

0
Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti ametoa wito kwa kiongozi wa nchi Rais William Ruto kutafakari vilivyo kabla ya kuteua mawaziri. Akizungumza jana Jumapili...

Mahakama yatupilia mbali mgao wa nafasi za ajira Bangladesh

0
Mahakama moja nchini Bangladesh imetupilia mbali migao ya nafasi za ajira serikalini ambayo ilikuwa imesababisha maandamano yenye vurugu kote nchini humo. Maandamano hayo yamesababisha vifo...

Raila akubaliana na vijana kwamba haki ije kwanza kabla ya mazungumzo

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga amesema kwamba anakubaliana na vijana wa taifa hili kwamba haki inafaa kutekelezwa kabla...

Barua za mwito kwa wanafunzi kujiunga na vyuo vikuu zafutiliwa mbali

0
Wizara ya elimu nchini imetangaza kufutiliwa mbali kwa barua zilizotolewa na taasisi ya kusajili wanafunzi katika vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya...

Mwalimu ashtakiwa kwa jaribio la mauaji kwa kuchapa mwanafunzi Nyamira

0
Jackson Marucha mwalimu wa shule ya msingi ya Riang'ombe katika kaunti ya Nyamira ameshtakiwa kwa kosa la kujaribu kuua kufuatia hatua yake ya kuchapa...

Trump asema alipigwa risasi kwa ajili ya demokrasia

0
Aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ambaye pia ni mwaniaji urais wa chama cha Republican amerejelea kampeni baada ya kunusurika jaribio la kumtoa uhai...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS