Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1515 POSTS 0 COMMENTS

Serikali ya kaunti ya Tana River yaombwa ikarabati barabara

0
Serikali ya kaunti ya Tana River imeombwa ikarabati barabara zinazounganisha eneo la Milalulu katika eneo bunge la Galole. Kulingana na seneta wa kaunti hiyo Danson...

Sarah Hassan kuwa mgeni wa heshima wa kongamano la wanawake jijini...

0
Mwigizaji tajika wa Kenya Sarah Hassan ametangaza kwamba amealikwa kama mgeni wa heshima kwa kongamano kuhusu kuwezesha wanawake na maendeleo endelevu jijini Brazzaville katika...

Biden amkaribisha Trump Ikulu

0
Rais Joe Biden alikutana na Rais mteule Donald Trump katika Ikulu ya Marekani jana Jumatano, hatua ya kwanza ya mchakato wa kupokezana mamlaka. Biden alihakikishia...

2Baba amsherehekea mkewe Annie kwenye siku yake ya kuzaliwa

0
Innocent Idibia mwanamuziki wa Nigeria, anayefahamika kama 2baba, ameonyesha mapenzi kwa mke wake Annie kupitia mitandao ya kijamii, alipokuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Annie...

Kalonzo asema wataendelea kukosoa serikali

0
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema kwamba kama viongozi wa upinzani, wataendelea kukosoa serikali ya Kenya Kwanza. Hata hivyo alifafanua kwamba hawatatumia vurugu...

Mtetezi wa haki za binadamu ajiua Iran kisa udikteta wa Ayatollah...

0
Mwanaharakati mmoja wa haki za binadamu nchini Iran anayefahamika sana amejitoa uhai kulalamikia kile alichokitaja kuwa udikteta wa kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali...

Gavana Badilisha akabiliwa na hoja ya kumwondoa madarakani

0
Samuel Mathu Wainaina ambaye ni mwakilishi wadi wa kaunti ya Nyandarua amewasilisha hoja ya kutaka kumbandua afisini Gavana wa kaunti hiyo Moses Kiarie Ndirangu...

Waliomtukana Museveni na familia yake wakamatwa

0
Raia wawili wa Uganda wamekamatwa kwa kosa la kumtukana Rais Yoweri Museveni, mkewe Janet Museveni na mwanao Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kwenye TikTok. Jaji Stella Maris...

Chuo kikuu cha Yale kutoa kozi kuhusu Beyonce mwakani

0
Chuo kikuu cha Yale kimetangaza ujio wa kozi kuhusu mwanamuziki Beyoncé Knowles-Carter mwaka ujao. Kozi hiyo kwa jina "Beyoncé Makes History: Black Radical Tradition, Culture,...

Watu maarufu wadaiwa kulipa waathiriwa wa P Diddy ili wanyamaze

0
Mwanamuziki wa Marekani Ray J amesema kwamba watu fulani maarufu wamewasiliana naye wakiwa na woga kutokana na uhusiano kati yao na Diddy. Kulingana naye, watu...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS