Home Authors Posts by Francis Ngala

Francis Ngala

Francis Ngala
56 POSTS 0 COMMENTS
I am Versatile Multimedia Journalist with years of experience in Digital platforms, Live TV and Radio. In another world am a News Anchor and Reporter.

Dunia Wiki Hii: Nchi kadhaa zaendelea kuathirika kutokana na joto kali

Sehemu kubwa ya kaskazini mwa dunia inaathirika kutokana na joto kali  linalotishia afya ya watu na pia kusababisha majanga ya kimaumbile. https://art19.com/shows/taarifa/episodes/42510c90-37c9-46e6-aee6-9c27f540c4b1

Mchezaji nyota wa Barcelona kuelekea PSG, Xavi atoa machozi

0
Kocha wa Barcelona Xavi Hernandez amethibitisha kuwa winga Ousmane Dembele raia wa Ufaransa anataka kujiunga na klabu ya Paris Saint Germain katika dirisha hili...

Gianluigi Buffon aamua kutundika daluga

0
Golikipa mashuhuri raia wa Italia Gianluigi Buffon ametangaza kustaafu soka na kutia kikomo taaluma hiyo miaka 28 baadaye. Buffon mwenye umri wa miaka 45 alichezea...

Anthony Elanga na Nottingham Forest mambo sawa

0
Klabu ya Nottingham Forest imethibitisha kumsajili mchezaji Anthony Elanga kwa mkataba wa miaka mitano kutoka Manchester United. Elanga mwenye umri wa miaka 21, raia wa...

Marcel Sabitzer atimkia Dortmund

0
Marcel Sabitzer raia wa Austria amejiunga na Klabu ya Borrusia Dortmund Nchini Ujerumani kutokea klabu ya Bayern Munich. Sabitzer 29, ambaye msimu Jana amekuwa Man...

Wilfried Zaha ajiunga na klabu ya Galatasaray, Uturuki

0
Winga wa Ivory Coast Wilfried Zaha amejiunga na klabu ya Galatasaray nchini Uturuki kwa uhamisho huru baada ya mkataba wake na klabu ya Crystal...

Mason Mount ni nani? Mfahamu kiungo nyota mpya wa klabu ya...

0
Mason Tony Mount alizaliwa Januari tarehe 10 mwaka wa elfu moja Kenda mia tisini na tisa 1999, Katika Mji wa Portsmouth Nchini Uingereza. Maisha ya...

Zoezi la ukusanyaji saini kumbandua rais Ruto ni mbwembwe tu, asema...

0
Naibu rais Rigathi Gachagua ametaja hatua ya kinara wa upinzani Raila Odinga ya kutaka kumng'atua rais William Ruto mamlakani kutumia ukusanyaji wa saini kutoka...

Tutakata rufaa dhidi ya uamuzi wa mahakama kuu, asema mbunge Geoffrey...

0
Mbunge wa Mbeere Kaskazini Geoffrey Ruku amesema mrengo wa Kenya Kwanza utakata rufaa uamuzi wa mahakama kuu ulioharamisha uteuzi wa mawaziri wasaidizi 50. Akiongea hii...

Macky Sall amiminiwa sifa kwa kuridhia kustaafu

1
Baada ya kutangaza kuwa hatawania muhula mwingine wakati wa kinyang'anyiro cha urais mwaka wa 2024, Rais wa Senegal Macky Sall ameendelea kupokea sifa kedekede...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS