Home Authors Posts by Francis Ngala

Francis Ngala

Francis Ngala
56 POSTS 0 COMMENTS
I am Versatile Multimedia Journalist with years of experience in Digital platforms, Live TV and Radio. In another world am a News Anchor and Reporter.

Zinga: Hatutaki Handshake! Wanaosema hivyo wakome – Stewart Madzayo

0
Kiongozi wa walio wachache katika bunge la seneti Stewart Madzayo amesisitiza kuwa mrengo wa Azimio haufanyi mazungumzo ya kujiingiza ndani ya serikali ya Kenya Kwanza...

Zinga: Mwaka mmoja madarakani, Kenya Kwanza imeafikia yapi ?

0
Imetimia mwaka mmoja leo Jumatano, Agosti 9, 2023 tangu kuchaguliwa kwa serikali ya muungano wa Kenya Kwanza. Kwa kipindi ambacho imekuwa madarakani, ni yapi...

Zinga: Wanawake waonywa dhidi ya kuavya mimba

0
Wanawake wameonywa dhidi ya kuavya mimba kutokana na sababu binafsi. Aidha mkuu wa jinsia katika shirika la takwimu humu nchini Stanley Wambua amewahimiza kuchukua...

Lamu: Wakfu wa Waridi foundation waazimia kukomesha dawa za kulevya kupitia...

0
Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za Pwani ambazo uraibu wa madawa ya kulevya umeendelea kuwa tishio miongoni mwa kizazi cha sasa na...

Hampati ng’oo! Rais Ruto asisitiza hakuna serikali ya ‘nusu mkate’

0
Rais William Ruto amepuuzilia mbali uwezekano wa makubaliano ya kugawana serikali na upinzani huku akisema vitisho vya upande wa upinzani haviwezi kubadilisha fikra zake. Aidha...

Manchester City kukipiga na Arsenal Kombe la Ngao ya Jamii, unachohitaji...

0
Agosti 6 Manchester City na Arsenal zitapepetana kwenye dimba la Wembley nchini Uingereza. Pambano la Ngao ya Jamii ndilo utangulizi wa kufunguliwa pazia la ligi...

Matukio ya Taifa: Mradi wa Konza Techno City kugharimu zaidi ya...

0
Rais William ruto ametangaza kuwa serikali imetenga zaidi ya shilingi billioni mia moja kuhakikisha kuwa mradi wa Konza Techno City unaingia awamu ya pili...

Zinga: Mapendekezo ya mfumo wa CBC kuimarisha elimu nchini

0
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Nairobi Andrew Watuha amesema mapendekezo ya Jopo la Rais kuhusu Mageuzi ya Elimu Nchini (PWPER) ni bora kwa kizazi...

Lionel Messi moto wa kuotea mbali

0
Maisha ya soka ya mchezaji bora duniani Lionel Messi yanazidi kuwa matamu zaidi nchini Marekani huku nyota huyo wa timu ya taifa ya Argentina...

Matukio ya Taifa: Walimu 37 na polisi 30 wauawa na Al-Shabaab...

0
Takriban walimu 37 wameuwawa na magaidi wa Al-shaabab na maafisa 30 wa polisi tangu mwaka 2013. Akitoa takwimu hizo, Waziri wa Usalama wa Taifa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS