Francis Ngala
Matukio ya Taifa: Halmashauri ya NCA yazindua kampeni ya kuhamasisha Usalama
Mamlaka ya Kitaifa ya Ujenzi (NCA) imezindua kampeni ya mwezi mmoja kote nchini inayolenga kuhamasisha umma kuhusu usalama kwenye sekta ya ujenzi.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/f90ed5e6-e9b3-4114-a164-4b5a9353efc3
Tutumie sanaa kutunza mazingira, vijana waambiwa
Wakulima, wafanyabiashara na mashirika mbalimbali ya serikali na kibinafsi yako tayari kuonyesha bidhaa na huduma zao mbalimbali kwa umma wakati maonyesho ya kilimo na...
Matamshi ya kejeli yamponza kocha wa timu ya wanawake ya Rwanda
Kocha wa timu ya wanawake ya Rwanda Grace Nyinawumuntu amesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana na shirikisho la soka nchini humo kufuatia matamshi ya dharau...
Dunia Wiki Hii: Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi laandaliwa nchini...
Katika makala ya juma hili,
Kongamano la Afrika kuhusu Tabia Nchi laandaliwa nchini Kenya huku miito ya ufadhili zaidi ikitolewa, nao viongozi wa bara hilo...
Daktari wa Radio: Ongezeko la visa vya kujitoa uhai, lazua tumbo...
Takriban watu 700000 kote Ulimwenguni hufa kwa kujiua kila mwaka huku asilimia 78 ya visa hivyo vikitokea katika nchi zenye kipato cha chini na...
Mkwaju wa penalti waipa Man United ushindi dhidi ya Nottingham Forest
Manchester United ilipata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Nottingham Forest nyumbani Old Trafford licha ya kutoboka mabao mawili ndani ya dakika 4 katika...
Daktari wa Redio: Janga la VVU tishio kwa wanaume na vijana...
Ongezeko la maambukizi ya virusi vya Ukimwi miongoni mwa vijana na wanaume laibua wasiwasi wa chamko la ugonjwa huo nchini.
https://art19.com/shows/daktari-wa-radio/episodes/ae21d678-c901-4c57-ae5c-039682432da0
Kipenga cha Kabumbu: Manchester United yakandwa na Spurs mawili kwa sufuri
Klabu ya Tottenham hotspurs imeibuka washindi baada ya kuipokeza klabu ya Manchester United kichapo cha mabao 2-0 katika mchezo ambao United ilishindwa kustahimili mawimbi...
Tanzania: Mabalozi watakiwa kutafuta fursa
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka mabalozi kufuatilia utekelezaji wa mikataba na hati za makubaliano zinazotokana na ziara za...
Zinga: Miaka kumi ya ugatuzi, mafanikio na changamoto zake
Mfumo wa ugatuzi umeonekana kupeleka maendeleo mashinani. Lakini ijapokuwa umesifiwa kwa kuchochea maendeleo hayo, kumekuwa na changamoto si haba, mojawapo likiwa swala sugu la...