Home Authors Posts by Francis Ngala

Francis Ngala

Francis Ngala
57 POSTS 0 COMMENTS
I am Versatile Multimedia Journalist with years of experience in Digital platforms, Live TV and Radio. In another world am a News Anchor and Reporter.

Matukio manne yaliozua vilio na mijadala mikali ligi ya EPL 2023

0
Mchezo wa kandanda au Soka unahenziwa sana duniani na ndio pekee ulio na mashabiki wengi kote ulimwenguni.  Japo ligi ya Ujerumani na Uhispania; Bundesliga na...

Mahojiano: Teknolojia ya Akili Bandia ni nini, Athari na Manufaa yake

0
Kadri miaka inavyozidi kusonga ndivyo Teknolojia inavyozidi kukua. Matumizi ya Akili Bandia yanakua kwa kasi mno huku app nyingi zikiendelea kukua kama vile CHAT...

Udondozi wa Kimataifa: Juhudi za kidiplomasia zinatekelezwa kukomesha mzozo wa Israel...

0
Juhudi za kidiplomasia zinatekelezwa kukomesha mzozo huo huku mashauriano baina ya Israel na kundi la Hamas ili kubadilishana wafungwa zinaendelea faraghani. https://art19.com/shows/udondozi-wa-kimataifa/episodes/a62307d2-8a0b-45b7-810a-c6eaeb9b6879

Daktari wa Radio: Ugonjwa wa moyo, nini kinafanya moyo kuacha kufanya...

0
Kulingana na Shirika la Afya Duniani, WHO, magonjwa ya moyo ndio husababisha vifo vingi zaidi duniani. Leo, katika kipindi chetu cha Daktari wa Redio,...

Matukio Ya Taifa: Bunge la Seneti kuongeza Muda wa Vikao vyake...

0
Bunge la seneti kuongeza muda wa vikao vyake siku ya jumanne na jumatano kujadili hoja ya kubanduliwa afisini kwa gavana wa meru kawira mwangaza. https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/254df42f-bcac-4240-b4b9-033c0affaecc  

Pepea Mashariki: Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano yachukua Mapumziko ya muda

0
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano Kati ya Serikali na Upinzani imechukua Mapumziko Hadi Jumatatu ya tarehe 7 Novemba wiki ijayo ,Ili kuruhusu timu ya...

Zinga : Zogo la Wachuuzi Kaunti ya Nairobi

0
Baada ya Kaunti ya Nairobi kupiga marufuku uchuuzi wa bidhaa Katika baadhi ya barabara katikati mwa jiji, Wanasiasa na Makundi mbali mbali wamejitokeza kupinga...

Taarifa: Ziara ya siku 4 ya Mfalme Charles III yaanza Rasmi

0
Ziara ya siku 4 ya Mfalme Charles imeanza rasmi leo, siku moja tu baada ya kuwasili humu Nchini akiambatana na mkewe malkia Camilla chini...

Zinga: Ziara ya Mfalme wa Uingereza Charles III

0
Mfalme wa Uingereza Charles III alipokelewa ikuluni Nairobi kwa taadhima na Rais William Ruto, lakini je Ziara yake humu Nchini Ina manufaa gani ? https://art19.com/shows/zinga/episodes/88777bce-d00b-4bde-ab10-b375ca8525bf

Uteja umeisha! Arsenal wachana nyavu za Man City Emirates

0
Klabu ya Arsenal ilichukua alama zote tatu nyumbani Emirates baada ya kuwakwaruza mabingwa watetezi wa ligi Manchester City kwa bao moja kwa sufuri. Mchezo wa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS