Francis Ngala
Mahojiano: Teknolojia ya Akili Bandia ni nini, Athari na Manufaa yake
Kadri miaka inavyozidi kusonga ndivyo Teknolojia inavyozidi kukua. Matumizi ya Akili Bandia yanakua kwa kasi mno huku app nyingi zikiendelea kukua kama vile CHAT...
Udondozi wa Kimataifa: Juhudi za kidiplomasia zinatekelezwa kukomesha mzozo wa Israel...
Juhudi za kidiplomasia zinatekelezwa kukomesha mzozo huo huku mashauriano baina ya Israel na kundi la Hamas ili kubadilishana wafungwa zinaendelea faraghani.
https://art19.com/shows/udondozi-wa-kimataifa/episodes/a62307d2-8a0b-45b7-810a-c6eaeb9b6879
Daktari wa Radio: Ugonjwa wa moyo, nini kinafanya moyo kuacha kufanya...
Kulingana na Shirika la Afya Duniani, WHO, magonjwa ya moyo ndio husababisha vifo vingi zaidi duniani. Leo, katika kipindi chetu cha Daktari wa Redio,...
Matukio Ya Taifa: Bunge la Seneti kuongeza Muda wa Vikao vyake...
Bunge la seneti kuongeza muda wa vikao vyake siku ya jumanne na jumatano kujadili hoja ya kubanduliwa afisini kwa gavana wa meru kawira mwangaza.
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/254df42f-bcac-4240-b4b9-033c0affaecc
Pepea Mashariki: Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano yachukua Mapumziko ya muda
Kamati ya mazungumzo ya maridhiano Kati ya Serikali na Upinzani imechukua Mapumziko Hadi Jumatatu ya tarehe 7 Novemba wiki ijayo ,Ili kuruhusu timu ya...
Zinga : Zogo la Wachuuzi Kaunti ya Nairobi
Baada ya Kaunti ya Nairobi kupiga marufuku uchuuzi wa bidhaa Katika baadhi ya barabara katikati mwa jiji, Wanasiasa na Makundi mbali mbali wamejitokeza kupinga...
Taarifa: Ziara ya siku 4 ya Mfalme Charles III yaanza Rasmi
Ziara ya siku 4 ya Mfalme Charles imeanza rasmi leo, siku moja tu baada ya kuwasili humu Nchini akiambatana na mkewe malkia Camilla chini...
Zinga: Ziara ya Mfalme wa Uingereza Charles III
Mfalme wa Uingereza Charles III alipokelewa ikuluni Nairobi kwa taadhima na Rais William Ruto, lakini je Ziara yake humu Nchini Ina manufaa gani ?
https://art19.com/shows/zinga/episodes/88777bce-d00b-4bde-ab10-b375ca8525bf
Uteja umeisha! Arsenal wachana nyavu za Man City Emirates
Klabu ya Arsenal ilichukua alama zote tatu nyumbani Emirates baada ya kuwakwaruza mabingwa watetezi wa ligi Manchester City kwa bao moja kwa sufuri.
Mchezo wa...
Pepea Mashariki: Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye atengua Baraza la Mawaziri
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa mara ya nne tangu aingie madarakani.
https://art19.com/shows/taarifa/episodes/1ae0584b-eda4-4037-a97a-bd363a4cb5e4