Home Authors Posts by Francis Ngala

Francis Ngala

Francis Ngala
56 POSTS 0 COMMENTS
I am Versatile Multimedia Journalist with years of experience in Digital platforms, Live TV and Radio. In another world am a News Anchor and Reporter.

Suluhisho la kidijitali kwa kina mama na ustawi wa watoto wachanga 

0
Teknolojia, uvumbuzi na suluhu ndio msingi wa maendeleo, hutengeneza njia ya mabadiliko ya mageuzi na kushughulikia changamoto kubwa katika ulimwengu wa leo. Katika makala haya...

EURO 2024: Takwimu muhimu za Ufaransa dhidi ya Poland

0
Juni 25, 2024, uwanja wa nyumbani wa klabu ya Borussia Dortmund kaskazini mwa Rhine-Westphalia nchini Ujerumani kutawaka moto wakati Ufaransa na Poland zitakapomenyana kwenye...

Waandamanaji wavamia afisi ya mbunge wa Nyali

0
Kundi la waandamanaji wanaopinga Mswada wa Fedha wa mwaka 2024 leo Jumatatu walivamia afisi ya mbunge wa Nyali Mohamed Ali kuwasilisha na kuelezea kutoridhishwa...

Ronald Koeman atupia Barcelona lawama kisa De Jong

0
Kocha wa zamani wa Barcelona Ronald Koeman ameilaumu klabu ya Barcelona kwa jeraha la kiungo wa Uholanzi Frenkie de Jong ambalo limemfanya kukosa kushiriki michuano...

Zinga: Serikali imejitolea kuwalinda wakenya dhidi ya majanga asema Mwanaisha Chidzuga

0
Naibu msemaji wa serikali Mwanaisha Chidzuga amesema serikali ya Rais William Ruto imejitolea kuhakikisha wakenya wanalindwa kutokana na majanga hasa mafuriko. Akiongea na Radio Taifa,...

Kuadhimisha siku ya Wakunga Duniani, hatua zilizopigwa

0
Katika kuadhimisha siku ya wakunga duniani, Mwanahabari wetu Francis Ngala amefanya mahojiano na Lilian Nkirote ambaye ni mkunga mtaalamu katika hospitali ya kuzalisha ya Jacaranda, Kulingana...

Inasikitisha! Xavi amlaumu Refa baada ya Barcelona Kukandwa na PSG

0
Kocha wa Barcelona Xavi Hernandez amemuelekezea kidole cha lawama refa Istvan Kovacs' raia wa Romania baada ya klabu yake kuondolewa na PSG kwa jumla...

Mwanasiasa wa ODM Narok Town afariki

0
Chama cha ODM Kinaomboleza kifo cha mwakilishi wadi wa Narok Town Lucas Kudake aliye pia mwanachama wa chama hicho ambaye amefariki baada ya kuugua...

Pigo kwa Nigeria, Jeraha likimtupa nje ya AFCON 2023 nyota wa...

0
Timu ya taifa ya Nigeria imepata pigo baada ya kiungo wake mkabaji Wilfred Ndidi kupata jeraha siku chache kabla ya michuano hiyo kuanza. Ndidi alikuwa...

Matukio manne yaliozua vilio na mijadala mikali ligi ya EPL 2023

0
Mchezo wa kandanda au Soka unahenziwa sana duniani na ndio pekee ulio na mashabiki wengi kote ulimwenguni.  Japo ligi ya Ujerumani na Uhispania; Bundesliga na...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS