Dismas Otuke
Sakaja miongoni mwa mashahidi dhidi ya Gachagua
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ni miongoni mwa mashahidi watatu watakaokula kiapo kutoa ushahidi dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Wengine watakaotoa ushahidi siku ya...
Peres Jepchirchir kutimka Vedanta Delhi Half Marathon
Bingwa wa London Marathon na mshikilizi wa zamani wa rekodi ya dunia ya nusu marathon Peres Jepchirchir wa Kenya, ametoa ithibati kushiriki makala ya...
Ruto afanya uteuzi wa wenyekiti wa mashirika ya umma
Rais William Ruto amefanya uteuzi wa wenyekiti wa mashirika kadhaa ya humu nchini kwa kipindi cha miaka mitatu.
Uteuzi huo ni katika utumishi wa umma,mashirika...
Immaculate Anyango apigwa marufuku na AIU kwa kula muku
Bingwa wa Sirikwa Classic Cross country mwaka huu Emmaculate Achol Anyango, amefungiwa kushiriki mashindano baada ya kupatikana kuwa mlaji muku.
Kulingana na...
Jopokazi la AFC Leopards laanza ziara Tanzania
Jopokazi la klabu ya AFC Leopards limeanza ziara yake nchini Tanzania katika klabu ya Yanga, leo kutathmini mbinu bora za kubadilisha timu hiyo ya...
Maafisa wanne wa polisi nchini Uganda wawekewa vikwazo vya usafiri na...
Maafisa wanne wakuu wa polisi nchini Uganda wamewekewa vikwazo vya kusafiri nchini Marekani, kutokana na kuhusika kwao katika visa vya ukiukaji haki za kibinadamu.
Mathew...
Malimbukeni wanyofoa mibabe Ligi ya Mabingwa Ulaya
Mechi za raundi ya pili hatua ya makundi kuwania kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya zilimalizika kwa kishindo huku timu limbukeni zikiwaangusha...
Harambee Stars kuingia kambi Oktoba 4 kwa mtihani wa Cameroon
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Haram ee Stars itaripoti kwa kambi ya mazoezi Ijumaa Oktoba 4, kujiandaa kwa mechi za kufuzu AFCON...
UDA yajitenga na mswada wa kuongeza kipindi cha Rais
Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kimejitenga na mswada uliopendekezwa na Seneta wa Nandi Samson Cherargei unataoka kuongeza kipindi cha kuhudumu kwa viongozi wanaochaguliwa...
Murkomen aandaa kikao cha utathmini utendakazi
Waziri wa masuala ya vijana ,uchumi bunifu na michezo Kipchumba Murkomen, ameandaa kikao ha kutathmini utendakazi na kujadili mustakabali wa wizara hiyo.
Akihutubu Murkomen amesema...