Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1533 POSTS 0 COMMENTS

Kenya kuandaa kikao cha Michezo ya Jumuiya ya Madola

0
Kenya kwa mara ya kwanza imeteuliwa kuandaa kikao  cha michezo ya Jumuiya ya Madola, CGA kwa mataifa ya Afrika na yale ya Ulaya, tarehe...

Mahakama Kuu yapiga breki kukamatwa kwa wandani wa Gachagua

0
Mahakama Kuu imemzuia Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma, DPP kuwashtaki wanasiasa wandani wa Naibu Rais Rigathi Gachagua pamoja na wasaidizi wake. Jaji wa Mahakama hiyo...

Kenya kuandaa kongamano la Afrika na Ufaransa mwaka 2026

0
Kenya inatarajiwa kuandaa kongamano la Afrika na Ufaransa mwaka 2026 kwa mara ya kwanza tangu lizinduliwe mwaka 1973. Itakua mara ya kwanza kwa kongamano hilo...

Uganda yafungua mradi wa umeme wa Karuma baada ya miaka...

0
Uganda hatimaye imefungua mradi wa kuzalisjha umeme Karuma ambao umekuwa ukikarabatiwa kwa miaka 11 iliyopita. Mradi huo ulianza kujengwa Disemba mwaka 2013 kwa gharama...

Wakenya kujitosa katika makala ya 50 ya Berlin Marathon

0
Makala ya 50 ya mbio za mbio za Berlin Marathon yataandaliwa Jumapili hii Septemba 29 nchini Ujerumani, huku kwa mara ya kwanza mshindi wa...

Kipyegon afunga msimu kwa ushindi Marekani

0
Bingwa mara tatu wa Olimpiki katika mbio za mita 1,500 Faith Kipyegon alihitimisha msimu wake kwa ushindi wa makala ya kwanza ya mbio za ...

Waziri Ogamba: watakaobainika kuhusika mkasa wa Endarasha kuadhibiwa vikali

0
Serikali itawaadhibu vikali wale watakaopatikana kuhususika katika kusababisha mkasa wa moto wa shule ya Hillside Endarasha Academy katika kaunti ya Nyeri. Akizungumza mapema Alhamisi kwenye...

Abiud Chirchir asajiliwa na klabu ya Damac nchini Saudia

0
Mchezaji voliboli wa timu ya taifa Abiud Chirchir amesainiwa na klabu ya Damac nchini Saudia Arabia kwa msimu wa mwaka 2024-2025. Awali Chirchir ameichezea...

NRM kuwaajiri watu 145,000 kuchunga kura za Museveni

0
Chama tawala nchini Uganda cha National Resistance Movement (NRM) kimetangaza nia ya kuwaajiri vijana 145,000 watakaolinda kura za Rais Yoweri Museveni.  Lengo ni kuzuia wizi...

Ibada ya wanafunzi waliofariki Hillside Endarasha Academy yafanyika Nyeri

0
Ibada kwa ajili ya wanafunzi 21 walioangamia kwenye mkasa wa moto shuleni Hillside Endarasha Academy katika kaunti ya Nyeri inafanyika hii leo Alhamisi katika...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS