Dismas Otuke
Gachagua akana kumiliki kampuni zinazofanya ni biashara na serikali
Naibu Rais William Ruto amekanusha madai ya kampuni zinazomilikiwa na familia yake kufanya biashara na serikali, kinyume cha ilivyodaiwa kwenye kesi ya kumng'atua afisini...
Gachagua akanusha mashtaka dhidi yake akisema ni porojo
Naibu Rais Rigathi Gachagua, ameweka paruwanja chanzo cha mali yake anayomiliki na kukanusha madai kuwa yeye ni mfisadi.
Gachagua aliyasema hayo Jumatatu usiku, saa chache...
Bingwa wa Afrika mwaka 2015 Clement Kemboi afariki
Bingwa wa Afrika mwaka 2015 wa mita 3,000 kuruka viunzi na maji Clement Kemboi amefariki katika hali ya kutatanisha.
Mwili wa Kemboi ulipatikana ukiwa unaning'inia...
Davies Kemei ateuliwa Mkurugenzi wa mamlaka ya ushindani nchini
David Kemei ameteuliwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya ushindani nchini yaani Competition Authority of Kenya(CAK) na Rais William Ruto baada ya kuidhinishwa na Bunge.
Uteuzi...
Vitambulisho 180,000 havijachukuliwa, asema Muturi
Waziri wa Utumishi wa Umma Justin Muturi amesema jumla ya vitambulisho 180,000 na leseni 47,000 havijachukuliwa na wenyewe kutoka vituo vya Huduma Centre kote...
Yanga kumenyana na Mazembe Ligi ya Mabingwa Afrika
Waakilishi wa Afrika Mashariki katika hatua ya makundi ya kipute cha Ligi ya Mabingwa Young Africans kutoka Tanzania,watakabiliana na mabingwa mara tano TP Mazembe...
Kenya yaikwatua Tanzania CECEFA U-20
Timu ya Kenya kwa wachezaji walio chini ya umri wa miaka 20 imeanza vyema mashindano ya kuwania kombe CECAFA, baada ya kuwalaza wenyeji Tanzania...
Wakenya milioni 12 wamejiandikisha kwa SHIF, yasema Wizara ya Afya
Wizara ya Afya imetangaza kuwa jumla ya Wakenya 12,704,548 wamehamia kwa Bimpa mpya ya Afya ya Jamii, ya SHIF chini ya Mamlaka ya Afya...
Gachagua amwomba Ruto msamaha
Naibu Rais Rigathi Gachagua anayekabiliwa na masaibu na hatari ya kufurushwa ofisini amemwomba msamaha Rais William Ruto, siku mbili kabla ya kufika bungeni kujitetea.
Gachagua...
Junior Starlets waimarisha mazoezi kwa Kombe la Dunia
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasicha chini ya umri wa miaka 17 ,imeendeleza mazoezi yake katika Jamhuri ya Dominica, kujiandaa kwa makala ya...