Dismas Otuke
Congo yatarajia chanjo ya kwanza ya Mpox leo Alhamisi
Jamhuri ya Demokrasia ya Congo inatarajia kupokea shehena ya kwanza ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Mpox ,Alhamisi Septemba 5 huku ya pili ikitarajiwa...
Sudan Kusini yashauriwa kuahirisha uchaguzi mkuu
Sudan Kusini imeshauriwa kuahirisha uchaguzi wake mkuu uliopangwa kuandaliwa Disemba mwaka huu kwa kukosa mipango madhubuti ya kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki.
Kundi la...
Zaidi ya washiriki 10,000 wajiandikisha kwa Nairobi Marathon
Zaidi ya washiriki 10,000 wamejisajili kushiriki makala ya 3 ya mbio za Nairobi City Marathon, zitakazoandaliwa Jumapili hii.
Kulingana na waandalizi washiriki 731 wakiwemo wa...
Harambee Stars wazidisha mazoezi Kampala tayari kwa makabiliano ya Zimbabwe
Timu ya taifa ya soka ya Kenya,Harambee Stars imendeleza mazoezi yake katika uwanja wa Nelson Mandela jijini Kampala Uganda, kujiandaa kwa mchuano wa...
KUPPET yasitisha mgomo wa Walimu baada ya kuafikiana na TSC
Walimu kote nchini wanatarijiwa kurejea shuleni kesho Jumanne, baada ya Muungano wa walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET, kutangaza kusitisha mgomo Jumatatu...
Mwanaume wa Kenya arejeshwa Marekani kushtakiwa kwa muaji
Mwanaume mmoja wa Kenya Kevin Adam Kinyanjui Kangethe, amerejeshwa mjini ,Massachusetts nchini Marekani, ili kushtakiwa kwa mauaji ya mpenzi wake mwaka mmoja uliopita.
Kinyanjui ni...
Sakaja atangaza kupanua mradi wa lishe Shuleni
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ametangaza kupanua mradi wa lishe shuleni kwa wanafunzi maarufu kama "Dishi La County", kwa shule za mitaa ya mabanda.
Akizungumza...
Namibia kuchinja wanyapori zaidi ya 700 kuwalisha raia kutokana na makali...
Namibia inapanga kuwachinja wanayamapori 723 wakiwemo tembo 83 na kusambaza nyama kwa raia ili kuwakimu kutokana na makali ya njaa.
kulingana na wizara ya mazingira...
Bandari ya Kenya kufutilia mbali malipo ya pesa taslimu
Waagizaji mizigo kupitia bandari ya Mombasa watapata afueni baada ya serikali kutangaza kuanzisha matumizi ya pesa kieletroniki .
Mfumo huo pia utasaidia kuondoa malipo ya...
KUPPET wakalia serikali ngumu waapa kuendelea na mgomo
Uongozi wa chama cha Walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET umeapa kuendelea na mgomo wa kitaifa siku ya Jumatatu ambayo itakuwa wiki...