Home Authors Posts by Dismas Otuke

Dismas Otuke

Dismas Otuke
1416 POSTS 0 COMMENTS

KUPPET yasitisha mgomo wa Walimu baada ya kuafikiana na TSC

0
Walimu kote nchini wanatarijiwa kurejea shuleni kesho Jumanne, baada ya Muungano wa walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET, kutangaza kusitisha mgomo Jumatatu...

Mwanaume wa Kenya arejeshwa Marekani kushtakiwa kwa muaji

0
Mwanaume mmoja wa Kenya Kevin Adam Kinyanjui Kangethe, amerejeshwa mjini ,Massachusetts nchini Marekani, ili kushtakiwa kwa mauaji ya mpenzi wake mwaka mmoja uliopita. Kinyanjui ni...

Sakaja atangaza kupanua mradi wa lishe Shuleni

0
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ametangaza kupanua mradi wa lishe shuleni kwa wanafunzi maarufu kama "Dishi La County", kwa shule za mitaa ya mabanda. Akizungumza...

Namibia kuchinja wanyapori zaidi ya 700 kuwalisha raia kutokana na makali...

0
Namibia inapanga kuwachinja wanayamapori 723 wakiwemo tembo 83 na kusambaza nyama kwa raia ili kuwakimu kutokana na makali ya njaa. kulingana na wizara ya mazingira...

Bandari ya Kenya kufutilia mbali malipo ya pesa taslimu

0
Waagizaji mizigo kupitia bandari ya Mombasa watapata afueni baada ya serikali kutangaza kuanzisha matumizi ya pesa kieletroniki . Mfumo huo pia utasaidia kuondoa malipo ya...

KUPPET wakalia serikali ngumu waapa kuendelea na mgomo

0
Uongozi wa chama cha Walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET umeapa kuendelea na mgomo wa kitaifa siku ya Jumatatu ambayo itakuwa wiki...

Ruto kuelekea China Jumapili kuhudhuria kongamo la FOCAC

0
Rais William Ruto anatarajiwa kusafiri kuondoka Jumapili jioni kuelekea Beijing,China kuhudhuria kongamano la tisa la ushirikiano kati ya mataifa ya Afrika na China(FOCAC). Kongamano hilo...

Kocha Firat ataja kikosi cha Harambee Stars

0
Kocha wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars Engine Firat ametaja kikosi kitakachosafiri Jumatatu Septemba 2, kuelekea Uganda kwa mechi ya kwanza ya...

Serem ashinda dhahabu akiweka rekodi mpya Peru

0
Edmund Serem aliongoza Kenya kutwaa nishani za dhahabu na fedha katika fainali ya mita 3,000 kuruka viunzi na maji ,huku makala ya 20 ya...

Mwimbaji wa Marekani Fatman Scoop afariki akipiga tamasha

0
Msanii wa Marekani Fatman Scoop amefariki akiwa na umri wa miaka 53 baada ya kuanguka na kuzirai akiwatumbuiza mashabiki siku ya Ijumaa. Kulingana na shirika...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS