Dismas Otuke
China yaahidi msaada wa dola bilioni 51 kwa...
Uchina imeahidi kutoa msaada wa dola za Kimarekani bilioni 51 kufadhili miradi 30 ya miundo msingi barani Afrika, inayokisiwa kubuni nafasi za ajira milioni...
Harambee Stars yaelekea Jo’burg kuikabili Namibia
Timu ya taifa ya Soka Harambee Stars imeondoka Kampala mapema leo Jumamosi, kuelekea mjini Johanesburg, Afrika Kusini kwa mechi ya kufuzu kwa fainali za...
Kenya na Zimbabwe waambulia sare tasa kufuzu AFCON
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars imeambulia sare tasa na Zimbabwe katika mchuano wa kwanza wa kundi J, kufuzu kwa fainali za AFCON...
Bedan Karoki athibitisha kushiriki Nairobi Marathon
Mwanariadha Bedan Karoki mwenye makao yake nchini Japan , amethibitisha kushiriki makala ya tatu ya mbio za Nairobi City Marathon Jumapili hii Septemba 8.
Karoki,...
Kenya yaripoti kisa cha tano cha Mpox
Wizara ya afya imethibitisha kisa cha tano cha virusi vya Mpox ambaye ni mwanfunzi wa umri wa miaka 28, katika mtaa wa VOK kaunti...
Wizara ya Elimu kuchunguza mkasa wa moto katika shule ya Hillside
Wizara ya Elimu imesikitishwa na mkasa wa moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 17 katika shule ya sekondari ya Hillside Endarasha, kaunti ya Nyeri Alhamisi...
Kenya Power yathibitisha kutoweka kwa umeme kote nchini
Kampuni ya usambazaji umeme ya KPLC imethibistiha kutoweka kwa nguvu za umeme katiuka maeneo mengi nchini Kenya kuanzia saa tatu Asubuhi.
Kulingana na arifa hiyo...
Harambee Stars kukabana koo na Zimbabwe leo jijini Kampala
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars itashuka katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Kampala kupambana na Zimbabwe, katika mchuano wa kwanza wa kundi...
Mkurugenzi wa zamani wa KEMRI Davy Koech afariki
Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya matibabu nchini (KEMRI) Dkt Davy Koech, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 73, baada ya kuugua kwa...
Chebet na Moraa watesa Zurich Diamond League
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Beatrice Chebet na bingwa wa Dunia Mary Moraa, waliibuka mabingwa katika mkondo wa 14 wa Zurich Diamond League Alhamisi...