Dismas Otuke
Bedan Karoki athibitisha kushiriki Nairobi Marathon
Mwanariadha Bedan Karoki mwenye makao yake nchini Japan , amethibitisha kushiriki makala ya tatu ya mbio za Nairobi City Marathon Jumapili hii Septemba 8.
Karoki,...
Kenya yaripoti kisa cha tano cha Mpox
Wizara ya afya imethibitisha kisa cha tano cha virusi vya Mpox ambaye ni mwanfunzi wa umri wa miaka 28, katika mtaa wa VOK kaunti...
Wizara ya Elimu kuchunguza mkasa wa moto katika shule ya Hillside
Wizara ya Elimu imesikitishwa na mkasa wa moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 17 katika shule ya sekondari ya Hillside Endarasha, kaunti ya Nyeri Alhamisi...
Kenya Power yathibitisha kutoweka kwa umeme kote nchini
Kampuni ya usambazaji umeme ya KPLC imethibistiha kutoweka kwa nguvu za umeme katiuka maeneo mengi nchini Kenya kuanzia saa tatu Asubuhi.
Kulingana na arifa hiyo...
Harambee Stars kukabana koo na Zimbabwe leo jijini Kampala
Timu ya taifa ya soka Harambee Stars itashuka katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Kampala kupambana na Zimbabwe, katika mchuano wa kwanza wa kundi...
Mkurugenzi wa zamani wa KEMRI Davy Koech afariki
Mkurugenzi wa zamani wa taasisi ya matibabu nchini (KEMRI) Dkt Davy Koech, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 73, baada ya kuugua kwa...
Chebet na Moraa watesa Zurich Diamond League
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Beatrice Chebet na bingwa wa Dunia Mary Moraa, waliibuka mabingwa katika mkondo wa 14 wa Zurich Diamond League Alhamisi...
Vikao vya Seneti Mashinani Busia vyaahirishwa hadi Oktoba
Vikao vilivypangwa vya Seneti mashinani vilivyostahiki kuandaliwa kati ya Septemba 23 na 27 vimeahirishwa hadi Oktoba 28.
Karani wa Bunge la seneti Jeremiah Nyegenye amemwandikia...
Olunga kukosa mechi mbili za Kenya kufuzu AFCON
Nahodha wa Harambee Stars Michael Olunga huenda akakosa kucheza katika mechi ya Ijumaa, kufuzu kwa fainali za AFCON dhidi ya Zimbabwe na ile ya...
Tume ya kitaifa ya huduma kwa polisi yabatilisha upandishaji...
Tume ya kitaifa ya huduma kwa polisi (NPSC) imebatilisha upandishaji vyeo kwa maafisa wa polisi, uliotekelezwa maajuzi na kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Gilbert...