Dismas Otuke
Vikao vya Seneti Mashinani Busia vyaahirishwa hadi Oktoba
Vikao vilivypangwa vya Seneti mashinani vilivyostahiki kuandaliwa kati ya Septemba 23 na 27 vimeahirishwa hadi Oktoba 28.
Karani wa Bunge la seneti Jeremiah Nyegenye amemwandikia...
Olunga kukosa mechi mbili za Kenya kufuzu AFCON
Nahodha wa Harambee Stars Michael Olunga huenda akakosa kucheza katika mechi ya Ijumaa, kufuzu kwa fainali za AFCON dhidi ya Zimbabwe na ile ya...
Tume ya kitaifa ya huduma kwa polisi yabatilisha upandishaji...
Tume ya kitaifa ya huduma kwa polisi (NPSC) imebatilisha upandishaji vyeo kwa maafisa wa polisi, uliotekelezwa maajuzi na kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Gilbert...
KBC kurusha mubashara mechi za Kenya kufuzu AFCON
Shirika la utangazaji Kenya,KBC litarusha mubashara mechi mbili za kwanza za Kenya, kufuzu kwa fainali za kombe la bara Afrika AFCON Ijumaa hii na...
Chipukizi wa Kenya watua kutoka mashindano ya Dunia
Wanariadha chipukizi wa Kenya wamewasili nchini mapema Alhamisi kutoka mjini Lima, Peru wakikoshiriki mashindano ya Dunia.
Timu hiyo ya wanariadha 19 iliwasili katika angatua ya...
Uhesabu watu nchini Burundi waingia wiki ya tatu
Shughuli ya kuhesabu watu nchini Burundi imeingia wiki ya tatu katika zoezi litakalokamilika Septemba 15.
Taifa hilo la Afrika Mashariki linaheabu raia wake kwa mara...
Congo yatarajia chanjo ya kwanza ya Mpox leo Alhamisi
Jamhuri ya Demokrasia ya Congo inatarajia kupokea shehena ya kwanza ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Mpox ,Alhamisi Septemba 5 huku ya pili ikitarajiwa...
Sudan Kusini yashauriwa kuahirisha uchaguzi mkuu
Sudan Kusini imeshauriwa kuahirisha uchaguzi wake mkuu uliopangwa kuandaliwa Disemba mwaka huu kwa kukosa mipango madhubuti ya kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki.
Kundi la...
Zaidi ya washiriki 10,000 wajiandikisha kwa Nairobi Marathon
Zaidi ya washiriki 10,000 wamejisajili kushiriki makala ya 3 ya mbio za Nairobi City Marathon, zitakazoandaliwa Jumapili hii.
Kulingana na waandalizi washiriki 731 wakiwemo wa...
Harambee Stars wazidisha mazoezi Kampala tayari kwa makabiliano ya Zimbabwe
Timu ya taifa ya soka ya Kenya,Harambee Stars imendeleza mazoezi yake katika uwanja wa Nelson Mandela jijini Kampala Uganda, kujiandaa kwa mchuano wa...